Kwanini wanaume wapole, waaminifu na wenye upendo wamepungua sana?

Nilishawahi kuwa na mtu nikawa mtulivu kabisa sipendi ugomvi wala nini, nilidharaulika ikafika hatua dada ananiambia lazima tugombane hata kidogo. Mwisho wa siku alikua mtu alieyendwa huko nyuma nikalala mbele.
 
tupo sema ni bahati kukutana tu, hata mm nilikuwa naonaga kama hakuna wanawake kama hao kumbe wapo ila shida ni njia za kukutana na kuaminiana katika kupeana nafasi
 
Sisi tusiokuwa wapole wala rude tunakomenti wapi!?
 
Tukiwa wapole si mnatuona mabwege, sasa dawa yake ni kusugua na kusepa.
 
Lakini jamaa akiamua kulipa kisasi! Ndo utasikia Dem kakatwa mkono,kachomwa na magunia ya mkaa,kamiminiwA risasi Saba,hao wakimya hao
 
Wapo ila hujabahatika kukutana nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…