Kwanini wanaume wasasa wamekalia malalamiko na kusahau nafasi na majukumu yao kama vichwa vya familia?

Hoja ndogo zinaibuka ndani ya mjadala, huwezi kuweka dimension moja watu kujadili bwana. Acha tuwe huru kujadili the way we feel like.
Unajua nn nilikuwa sitaki kwenda huko lakini nimeketi nikafikiri naona nikupe jibu Eli79 !
Kama mwanamke huyohuyo anafanya kazi 100% akirudi nyumbani akuhudumie we bwana mkubwa unaetaka mfumo dumo yaani apike sijui akukurike na mtoto na mazagazaga yote lazima ujue ANACHOKA wakati ww umeketi umeshakula msosi umenyoosha miguu upo mtandaoni au umeshika remote control umepumzika umepata nguvu hata ya kudai hio mbususu yako unategemea kweli mwanamke huyohuyo atajisikia kukupa ww hio mbususu?hata ham atakuwa nayo?
Ingali kama ungemsaidia angekuwa walau na nguvi za kukupa hio huduma!
Tafadhali saidieni wake zenu ilimfurahie hizi ndoa.Wanawake sio mapunda au watumwa alaa!!
 
Kwa mtu ambae anaelewa misingi ya ndoa hawezi kutoa unyumba kwa ratiba.Ndoa ni kihalalisho cha uzinzi so dhumuni ni umpe mwenzio haki yake ipasavyo!
Hayo unayo ya andika tunayaita "maneno ya nje ya uwanja",ila ukiingia ndani ndipo utapo jijua hujui.
 
Sawa kwasababu we mjuaji zaidi kuliko mimi!
Nimekwambia huna unacho kijua,hebu tumia hizi dk 15 msikilize huyu mama kwa umakini aliye kula chumvi zake na kuona mengi labda unaweza acha ushabiki.
 
Nimekwambia huna unacho kijua,hebu tumia hizi dk 15 msikilize huyu mama kwa umakini aliye kula chumvi zake na kuona mengi labda unaweza acha ushabiki.
I wish kungekuwa na emoji hii 👎 ili nikuwekee...imenibidi niandike tu!
 
Sisi hapa wanaume tumeshindwa kusimama kwenye nafasi yetu.
1. Kama wazazi/ walezi bora.
2. Waume na viongozi wa familia.
SABABU ZA KUSHINDWA KUSIMAMA KWENYE MAJUKUM NI ZIPI..NDIZO WATU WANAPASWA KUJADILI NA KUZIFUMBIA
 
SABABU ZA KUSHINDWA KUSIMAMA KWENYE MAJUKUM NI ZIPI..NDIZO WATU WANAPASWA KUJADILI NA KUZIFUMBIA

Zipo nyingi na zinatofautiana kati ya mtu na mtu, kwa uchache inaweza kuwa malezi, mitihani ya maisha mtu amepita, ukorofi amefanyiwa na watu, kutojitambua, kutoelewa nafasi yake n.k

Tunachosisitiza hapa bila kujali sababu, hakikisha mwanaume unasimama katika nafasi yako.
 
Sawa hapo.umesisitiza..nami naliunga mkono it's like recommendation. Some one can follow or unfollow.
Majibu ya swali ni mtu binafsi ila si jamii kwa kuwa watu wanatofautiana ila inapokuwa general concern lazima iangaliwekwa undani ili tatizo ili la kutosimama kwenye majukumu limesababishwa na nini?Kwa nn? wa wanaume wa zamani km anavyoeleza mtoa mada walikua wanaojitambua hawa wa siku hizi hawajitambui?hali kadhalika unaenda mbali labda malezi..malezi haya yalikuaje na yale yalikuaje
Utaendela hadi kwenye mifumo ya maisha mifumo ya mahusiano kabla na baada ya ndoa au wanazunguziwa ni vijana wa kiume ambao hawana ndoa.
Tukitoka hapo tunaingia kwenye sululisho la tatizo.
Hapo tutakuwa tunawasaidia wahusika kujitambua na kila.mmoja akatimiza wajibu wake kwa kuzingatia mila desturi taratibu au sheria iliyowekwa.nk
Vijana wa leo ndio wazee wa kesho..jamii ya leo iliandaliwa jana
 

Nimependa approach yako. Na hiyo ndio njia bora ya kutatua tatizo.
 
Rekebisha kichwa chako cha habari mjumuisho. Utasemaje wanaume wa sasa utadhani sote umetuhoji au kujua uzoefu wetu? Ukisikia ujinga na kujikosesha hoja ni huku mwanangu mwenye uvivu wa kufikiri.
 
Shwaini, nani aliesema anapenda mwanamke mwenye elimu, kazi bla blah nani aliesema anataka kusaidiwa ?! HIVYO VIVULANA VYA KWENU DAR NA PWANI USIVIITE WANAUME PLEASE.

MIANAMKE YENYE ELIMU NA VIJIKAZI HATA KAMWALIMU TU ILA NI VIBUREH JEURI, WAJUAJI, nauliza tena nani eliesema anataka mwanamke mwenye kazi mavi mavi blah blah ?!
 
Kelele nyingi za nn hapa ww nenda kaoe limbukeni mwenzio!
Acha wanawake wanaojielewa wapambane na watu level zao!
 
Kelele nyingi za nn hapa ww nenda kaoe limbukeni mwenzio!
Acha wanawake wanaojielewa wapambane na watu level zao!
Me kwa mtazamo wangu sioni kama kuna haja ya kubishana au kuumiza kichwa, Hapa kila mtu akubali kua dunia ndio imefika hapa tulipo na kila mtu ana uhuru wa kua anachotaka bila kupangiwa, so kila mtu achague nini anataka na kama yatamshinda mbele ni choice yake

Tukubali kua hatuwezi kua the same, hatuwezi kua na same level of thinking

Kama tukielewa kua tupo tofauti kila mtu ataishi kwa amani minding his/her own business
 
Afadhali umenisaidia kwa kuandika na thread kabisa manake mwaka jana nimeuliza kwenye jukwaa hili zaidi ya mara 3 kwamba kwanini Wanaume wa JF ndo tunaongoza kwa malalamiko kuliko wanawake ambao pengine tungetarajia wao wawe ndio wanaongoza!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…