Kwanini wanaume wasasa wamekalia malalamiko na kusahau nafasi na majukumu yao kama vichwa vya familia?

Tupeni heshima zetu na fanyeni haki kwa kuweka wazi kwamba mnaongelea kundi fulani la wanaume, mlinyambulishe vizuri.

Maana msiponyambulisha mnaweza kusomeka kama mnasema wanaume wote wa sasa ni watu valuvalu wa kukimbia majukumu.

Wakati wanaume Wanyamwezi wa kubeba mizigo iliyoshindikana bado tupo tunadai.
 
Ahsante kwa kuainisha tofauti baina ya maneno haya mawili.

Kwahio unachomaanisha hili kundi ninaloligusia ni wavulana na si wanaume?
 
Mwanaume aliambiwa atakula kwa jasho.
Mwanamke, utazaa kwa uchungu.

Siku hizi wanawake wanakula kwa jasho na bado wanazaa kwa uchungu wakati wanaume achilia mbali kutokuzaa, hata ile kula kwa jasho inawashinda.
Don't forget that this is the Men's world!!
 
Wanawake wana majukumu yao na wanaume wana majukumu yao.
Tatizo linaanzia pale ambapo kundi moja linaanza kuingilia majukumu ya kundi lingine.
.
..
....
........tafuta mwenzako mwenye kutimiza majukumu yake na wewe utimize yako achana na wasiotimiza.
"BREAK"
 
Ndomana bado tunakuwa namashaka na nyie hebu ona yani ww ndoumeelimika ona ulichoandika hueleweki msingi wahoja yako niipi
 
In short mada yako haileweki nini unataka specific

Naanza kuona umuhimu kwa nini wazee wetu walikuwa hawataki kuwapeleka shule ..walikua wanawafungia

Mara uzungumzie mfumo dume
Ambao bado sijaona hasara yake maana ndo unawaweka kwenye line vizuri

Mara tena 50/50
At the same time unashangaa baadhi ya wavulana sio wanaume lakini kutaka kulelewa ,unashangaa nyie siku hizi kutafuta kwa jasho na kuwajibika badala ya wanaume hapohapo ushaongelea 50/50 kwenye hizi gender mbili


Nini hasa unalenga kwenye thread yako
 
Ndomana bado tunakuwa namashaka na nyie hebu ona yani ww ndoumeelimika ona ulichoandika hueleweki msingi wahoja yako niipi
Wewe kwani umeelewa nini kwenye huu uzi?

Tatizo wanaume mnapenda mabadiliko ila hamtaki kubadili fikra na mienendo ili vilingane na mabadiliko!

Mnataka vitu perfect mnataka mwanamke mvumilivu,mwenye heshima,msikivu,mchapakazi,mwenye majukumu,mwanaharakati,mwenye elimu n.k lakini hayo hayawezekani kama mwanamke huyohuyo atakuwa 100% kama mtakavyo lazima kuwe na mapungufu!
 
Uzi huu unagusia sehemu tofauti rafiki....kwasababu vyote vinategemeana na kimoja kinasababishwa na kingine 50/50 haitokuwa applicable kama wanaume wanataka mfumo dume! Ili 50/50 ifanye kazi watu wenye fikra za mfumo dume inabidi wabadilike!

Swala la wazee kutotaka kupeleka watoto shule unamaanisha kwa jinsia zote mbili au jinsia mmoja?
 
Ulivyo mpumbvu unamaliza kwa kujihami eti Unataka ichangiwe na watu wanaojielewa
Umeandika rubbish .....
 
Ulivyo mpumbvu unamaliza kwa kujihami eti Unataka ichangiwe na watu wanaojielewa
Umeandika rubbish .....
Usifikiri ukitukana utabadilisha kitu.Wewe kama ni mwerevu sana mchango wako umeleta manufaa gani?
Hukuwa na haja ya kuchangia kwasababu naona na ww ni mmojawapo wasiojielewa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…