Kwanini wanaume wasasa wamekalia malalamiko na kusahau nafasi na majukumu yao kama vichwa vya familia?

Wataachaje kulalamika usaw huu a hiv vi slay queen..unapoonea navyo inabid uwe na calculator na dictionary pemben...
Vingereza viiiingi mwisho w siku invoice [emoji23][emoji23][emoji23][emoji39]
Ushaona wapa mtu anapeleka invoice kabla ya Kazi kufanyika na kukubalika ...toeni mzigo ndo invoice zifuate
 
Wewe mtoa mada soma unielewe .ukiona mwanaume hatimizi wajibu wake kwenye ndoa tambua huyo mkewe hapendi na sio chaguo lake au kamchoka, kwa sababu kila mwanaume anandoto ya kuja kuwa na mke bora mbali na kuwa na ndoto hiyo pia kuja kuwa baba atayehudumia familia yake ndio maana wanaume wengi wanapoteza maisha kwa ajili ya familia zao za sasa au baadae.sasa shida inaanza pale mwanamke anapoanza kumforce mwanaume na kuanza kutumia nguvu,kwa mfano unakuta demu anategesha mimba au anamloga mwanaume ili aolewe halafu baadae unalalamika wanaume hatimizi majukumu.tuachane na hao tuje kwa wanawake wanao wish kuwa baba wa familia yani unakuta mke anataka aonekane yeye anacommand nyumba nzima bila kujua kufanya hivo kuna ambatana na kuhidumia familia hapo ndio wanaume tunaacha kutimiza majukumu maana mtu akifikilia yani yeye alishe familia halafu eti command power tushare hapo ndio tunaona kama utumwa
 
Nimekuelewa lakini mpaka sasa ninavyoona mabadiliko katika maendeleo ya wanawake yamekuwa threat kubwa sana kwa wanaume hasa hili kundi ambalo hawaeshi kulalamika!
 
Usifikiri ukitukana utabadilisha kitu.Wewe kama ni mwerevu sana mchango wako umeleta manufaa gani?
Hukuwa na haja ya kuchangia kwasababu naona na ww ni mmojawapo wasiojielewa!
Huwezi ukalilia 50/50 at the same time ushangae wanaume kusahau majukumu yao ..sasa ushataka usawa ...ukiachiwa majukumu uanze kulaumu tena ??

Hv utakua na akili timamu ??

.Siku mkijua mnachotaka ...ndo utakua mwisho wa matatizo....
 
Maisha yamekua magumu jamani...

Alafu na nyie mmezidisha mahitaji kuliko wanawake wa zaman....

Unataka ela ya kusuka, kucha, gari, bia, uende kfc, cinema, yakutolea....

Zamani bibi zetu hawakua na haya, chakula na nguo inatosha....

Mtuhurumie wanaume. Mtatuua.
 
Huwezi ukalilia 50/50 at the same time ushangae wanaume kusahau majukumu yao ..sasa ushataka usawa ...ukiachiwa majukumu uanze kulaumu tena ??

Hv utakua na akili timamu ??

.Siku mkijua mnachotaka ...ndo utakua mwisho wa matatizo....
Tunajua tunachokitaka tatizo nyinyi ndio mnataka too much than what you can chew!Inabidi mpunguze expectations zenu kwasababu kama ni mwendo wa 50/50 mwanamke anabeba mzigo mzito zaidi inapaswa aheshimiwe kwa hilo na isiwe chanzo cha yeye kukandamizwa kwasababu ana haki zake!
 
50 to 50 kiufupi huo mfumo haumsaidii mwanaume chochote ndio maana tunaupinga kwa nguvu zote kama unaweza nitajie faida yoyote ya huo mfumo kwa mwanaume pekee .hebu fikiria wewe binafsi unaenda kila siki kazini kila siku unakutana na changamoto za kila siku halafu kuna mtu anataka mgawane 50 to 50 mshahara wako tena anatake yeye akupande na kucommand matumizi yako.hapo jinsi unavyojisikia hiyo hali ya kuonewa na utumwa ndivyo wanaume tunavyohisi usidhani sisi tuna moyo wa uchuma wa kuvumilia upumbavu
 
Mm nimekuelewa kama ulivomaanisha kilichofanya watu wakutupie mawe ni ww kuzungumzia kwaujumla
 
Samahani nadhani itabidi tueleweshane 50/50 ndo inagawanywa vipi kwa uelewa wangu mimi ni kwamba mnasaidiana majukumu ukichangia ya kifedha nusu kwa nusu yaani ww mfano unalipa pango nusu na mwenzio analipa nusu hio ndio 50/50 ninayoongelea mimi na mabaki mtajadiliana yanatumika vp aidha kama mnaweka akiba au kila mtu anaweka zake mfukoni n.k!
 
nimeishia hapo uliposema wanaume wanahitaji wanawake wachapakazi walioelimika ili kusaidiana majukumu...Mimi sihitahiji mwanamke mchapa kazi wala aliyeelimika
Sawa kila mtu ana chaguo lake we nenda kwa wasioelimika yaani wanaokuwa 100% housewives .Waachie uzi wachangie unaowahusu!
 
Ingekua mnajua mnachotaka ,huu Uzi usingeuanzisha ...eti mwanamke anabeba majukumu mengi ...HV ushapewa 50/50. .hayo majukumu mengi zaid ya mwanamke ni yapi ?? unajua maana ya usawa au unalalamika tuu ...Mnataka mfanyiwe nn ndo mridhike ... ..

Mnataka usawa lakini in reality usawa hamuuwezi ...
Tafsiri ya usawa n kwamba kila kitu Uwe unajitegemea mwenyewe hata Kwenye sex pasiwe na maandizi ujiandae mwenyewe .. ..
 
Nadhani huu uzi unawakera hasa wanaume ninaowaongelea!

Mwanamke huyohuyo anayekuwa na majukumu 50/50 anabeba ujauzito huku anafanya kazi na ahudumie mumewe na familia na mazagazaga yote yanayokuja anayabeba unataka kuniambia hivo havina maana?

Hio tafsiri ya kwenye usawa kwenye sex umeitolea wapi mkuu?usiende out of topic na kuanza kuleta dhihaka!
 
Nimekuelewa lakini mpaka sasa ninavyoona mabadiliko katika maendeleo ya wanawake yamekuwa threat kubwa sana kwa wanaume hasa hili kundi ambalo hawaeshi kulalamika!
Wanaume hayo mabadiliko hayatutishi maana kwa kiasi kikubwa tumechangia wenyewe tena tumeyaruhusu wenyewe kwa moyo mkunjufu
 
Point nzuri.

So bibie wewe unatoa mchango kwa asilimia 50 katika Familia yako na mahusiano yako? Naomba uwape elimu hiyo wanawake wote humu JF kuwa mambo ni 50/50 hivyo wachukue mfano kwako na wasione ni wajibu/jukumu la mwanaume peke yake kutimiza mahitaji yote katika famikia/mahusiano.
 
Sema baadhi ya Wanaume, wengine wengi tu hatuna tabia hizi.
 
Basi kama ni hivyo haina shida ila kama hauchangii chochote halafu unadai 50 to 50 hapo hata shetani anakushangaa maana tangu mwazo provider ndio anatawala
 

Mkuu “Marriage is not for everybody”. Nadhani unaweza kupata majibu ya maswali unayojiuliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…