Kwanini wanaume watu wazima hupenda vibinti vidogo?

Kwanini wanaume watu wazima hupenda vibinti vidogo?

Zemanda

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2021
Posts
8,323
Reaction score
18,051
Kumekuwa na kasumba ya wanaume wa umri mkubwa kuruka na mabinti wadogo umri wa binti zao kingono. Jamii kwasasa imeikubali hii tabia na kuifanya kuwa ni sehemu ya maisha ya kawaida wakati si sawa.

Ukichunguza utaona hawa wanaume wanatarget watoto ambao hawakustahili kabisa kuingia kwenye maswala ya ngono kwa umri wao. Mimi binafsi mara kadhaa nimeona boda boda umri wa mtu mzima kabisa wakitongoza kabinti umri wa miaka 15,16 na 17.

Huko kwenye mabar na nyumba za starehe nenda utajionea watoto wa kike umri wa form 2 wakijivinjali na watu umri sawa na wajomba au baba zao. Huko kwenye lodges na Guests Houses ndio kabisa.

Waungwana hujiuliza shida ni nini hadi wanaume kuwa na tamaa ya kingono juu ya miili ya watoto wadogo tena umri wa watoto wao au wajukuu.

Jibu ni simple. Hawa watu wanapitia hali ya kisaikolojia ya kutaka kufidia walichokosa wakati walipostahiki kupata. Wanaume wengi kwasasa wanakutana na mwanamke umri ukiwa umeenda na ameshaliwa na wanaume zaidi ya 50 na huyu ndie akawe mke wake.

Mwanaume hakuwa na hatawai kuja kuridhika au kutosheka au kumpenda ya dhati mwanamke ambaye amemkuta tayari akiwa amekwisha ingiliwa na wanaume wengine kabla yake na hii humpa hali ya kujiona si wa thamani na kutaka kufidia hiyo hasara kwa mabinti kama payback au compensation.

Kadiria wanawake wanavyoziweka bikra zao rehani kwa wanaume ambao hawatakuja kuolewa nao ndipo watoto wetu wa kike watazidi kuingiliwa na wanaume mabazazi katika umri wa utotoni yaani innocence. Wanaume anatafuta ule ushindi wa kufungua mali mpya ili ajiskie vizuri na hiki huwa wanakikosa katika umri wakiwa wadogo wakijitafuta sababu wanawake huwakwepa kwa sababu za kipuuzi sana kama kukosa hela.

Rai kwa wanaume, tujitathimini sana eneo hili na kama ikibidi basi tupate msaada wa ushauri nasaha ili kutibu maumivu ya uonevu tuliofanyiwa na wanawake kipindi hatuna hatia yoyote na wakatunyima heshima ya kuziona bikra zao wakatuachia miili iliyotumika na yenye kila aina ya mikosi inayokuja kutuandama tunapoingia nao kwenye mahusiano huku ukubwani.

Kwa wanawake mjitathimini matendo yenu ambayo ninyi ndio wasababishi na chanzo. Katika umri mdogo say wa miaka 16 binti huna haja wala sababu ys kutaka mwanaume aliyekuzidi umri,pesa na kadhalika ili kufanikiwa, unahitaji boyfriend ambaye mtajenga maisha pamoja.

Hizi tamaa za kuweka miili rehani ili udange upate chochote ndio mwanzo wa kuanzisha trend za kipuuzi kama hii ya wanaume kutaka watoto wadogo kwasababu ninyi mliwakataa katika umri sahihi wa mahusiano enzi za uchanga.

Kwa kifupi kwenye hili wanawake ninyi ndio primary source na kisababishi kikuu na wanaume wanaingia kama victim wa matendo waliyofanyiwa awali kabla hawajawa watu wazima.

Hebu mjitathimini.
 
Hiyo haijaanza leo, tangu enzi na enzi wanaume watu wazima walioa vibinti vidogo, ilikuwa kawaida mwanaume wa miaka 45 na kuendelea anaoa binti wa miaka 17,18, 19 na hata 20 so sio kitu kipya uliza ndoa za kimila kama wanaume walioa wazee wenzao
 
Unakataliwa ukiwa 16, inakuuma mpaka ukiwa 40, 50? upuuzi mtupu.

Mimi huwa nafurahi sana kusikia mtu kala mvua 30.

Endeleeni tu kutafuta njia za kuhalalisha ujinga wakati mnajua kabisa watoto wanalindwa na sheria.
Elekeza hasira kwenye chanzo sio matokeo. Hawa wanaofanya haya walitendewa sivyo. Ni kanuni za asili. Ubaya huwa unabwela.
 
Tabia mbaya sana kulala katoto under 18, hizo excuses za mnato nk ni upumbavu tu wa watu wazima.

Ila mwanamke yoyote aliyepevuka anaweza kulala na mwanaume yoyoye wa umri wowote. 20s anaweza kuwekwa na 40s, 50s nk. Japo kwangu hiyo haipo, nahitaji mtu mzima mwenzangu, tunaweza kuongea mambo makubwa. Most 20s ukikaa nao private utatamani mda uende fasta, utaulizwa mambo ya kina mond na zuchu..wengine its a turn off.
 
Back
Top Bottom