Doris Gabriel
JF-Expert Member
- Jul 30, 2017
- 1,045
- 869
- Thread starter
-
- #21
Jamani Mimi nimeandika kujifurahisha maana sio Mimi ila nimeandika kupitia wenzangi Wa naongeaWe differ in level of thinking ,capability and brain maturity so the best we can do love is to respect her perception tu
To me she still not matured enuf that's why she keep choosing every next bf because is handsome so eventually she chooses boys over men
She thinks swagger will pay bills n worse enuf she hasn't learn her lesson
Sent using Jamii Forums mobile app
probably,'you are a handsome female'
Sidhani kama ni kweli.[emoji46] [emoji46] [emoji46] [emoji46] [emoji46] siokuwa nimetembea nao Hapana ila utafit wangu hasa kwa wenzangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kosa kubwa kama msichana kuchovwachovywa na kila mwanaume hasa kama anamalengo yakuwa na familia, uzoefu wa wanaume wengi utamponza aidha kutokuolewa kwasababu ya kumtafuta fundi wa kitanda au hatodumu ktk ndoa kwakuwa haridhishwi kirahisi na mumewe kutokana na wanaume aliokwisha kukutananao.Nikuambie kitu, usijaribu usichana wako kwa kutembea na wanaume tofauti.
Chagua mmoja, use na future nae. Mtafundishana jinsi ya kuridhishana.
Hamna aliezaliwa anajua mapenzi.
Weka picha DorisHii huwanajiuliza kwanini Wanaume wazuri hawajui mapenz au kwakuwa ni wazuri wanajisahau wanatumia uzuri kama ngao[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Jamani sio uzuri wasura ,kifua ,eeeeeeee nakuleee Jamani mjitume
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndege wa rangi moja huruka pamoja.[emoji46] [emoji46] [emoji46] [emoji46] [emoji46] siokuwa nimetembea nao Hapana ila utafit wangu hasa kwa wenzangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Yah Of Course hata Mimi hicho ndicho Ninachokifanya Unakuta Mwanamke Umemzidi Kila Kitu Alafu Kwenye Bed 0° Ahsh!!!sisi wanaume unaodai ni wazuri huwa tuna tabia ya kudharau wanawake wabaya, kwa hiyo kama wewe huvutii basi jua napiga chapu chapu, ila nikiwa na mrembo namtendea haki
Umeshatembea na wangapi ukapata hiyo sample ya research yako?Hii huwanajiuliza kwanini Wanaume wazuri hawajui mapenz au kwakuwa ni wazuri wanajisahau wanatumia uzuri kama ngao[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Jamani sio uzuri wasura ,kifua ,eeeeeeee nakuleee Jamani mjitume
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa nawakumbuka sana dada zangu wapendwa mana kuna baadhi ya vitu kama hivi huwa navikosa kutoka kwenu.Nikuambie kitu, usijaribu usichana wako kwa kutembea na wanaume tofauti.
Chagua mmoja, use na future nae. Mtafundishana jinsi ya kuridhishana.
Hamna aliezaliwa anajua mapenzi.
Sawa kabisa mkuu,mapenzi ni kufundishanaNikuambie kitu, usijaribu usichana wako kwa kutembea na wanaume tofauti.
Chagua mmoja, use na future nae. Mtafundishana jinsi ya kuridhishana.
Hamna aliezaliwa anajua mapenzi.