Kwanini wanaume wazuri hawajui mapenzi

Kwanini wanaume wazuri hawajui mapenzi

We differ in level of thinking ,capability and brain maturity so the best we can do love is to respect her perception tu
To me she still not matured enuf that's why she keep choosing every next bf because is handsome so eventually she chooses boys over men
She thinks swagger will pay bills n worse enuf she hasn't learn her lesson

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani Mimi nimeandika kujifurahisha maana sio Mimi ila nimeandika kupitia wenzangi Wa naongea
Kupitia watu wakaribu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikuambie kitu, usijaribu usichana wako kwa kutembea na wanaume tofauti.

Chagua mmoja, use na future nae. Mtafundishana jinsi ya kuridhishana.

Hamna aliezaliwa anajua mapenzi.
Hakuna kosa kubwa kama msichana kuchovwachovywa na kila mwanaume hasa kama anamalengo yakuwa na familia, uzoefu wa wanaume wengi utamponza aidha kutokuolewa kwasababu ya kumtafuta fundi wa kitanda au hatodumu ktk ndoa kwakuwa haridhishwi kirahisi na mumewe kutokana na wanaume aliokwisha kukutananao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii huwanajiuliza kwanini Wanaume wazuri hawajui mapenz au kwakuwa ni wazuri wanajisahau wanatumia uzuri kama ngao[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Jamani sio uzuri wasura ,kifua ,eeeeeeee nakuleee Jamani mjitume

Sent using Jamii Forums mobile app
Weka picha Doris

Umeshatembea na wangapi ukapata hiyo sample ya research yako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikuambie kitu, usijaribu usichana wako kwa kutembea na wanaume tofauti.

Chagua mmoja, use na future nae. Mtafundishana jinsi ya kuridhishana.

Hamna aliezaliwa anajua mapenzi.
Huwa nawakumbuka sana dada zangu wapendwa mana kuna baadhi ya vitu kama hivi huwa navikosa kutoka kwenu.

King'asti , Heaven on Earth , ICHANA , Honey Faith , farkhina , Husninyo na wengineo wengi.

Muwe mnakuja mara mojamoja kama hivi basi jamani. Lol
 
sasa kama hana interest na wewe atakuridhishaje?we anakufanya chapa ilale tu
 
Ngoja waje wanaopenda wanaume wazuri na wanaume wazuri wenyewe wakupe jibu
 
Nikuambie kitu, usijaribu usichana wako kwa kutembea na wanaume tofauti.

Chagua mmoja, use na future nae. Mtafundishana jinsi ya kuridhishana.

Hamna aliezaliwa anajua mapenzi.
Sawa kabisa mkuu,mapenzi ni kufundishana
 
Back
Top Bottom