Kwanini wanaume wengi siku hizi hupenda sana kubeba mafuta ya mgando mifukoni?

Jamani Msiishie Tu Kucheka Hebu Toeni Basi Michango Yenu Kwani Hili TATIZO Linaongezeka Na Nahisi Wanaume Wa Sasa Wana Shida Iliyojificha Na Inayohitaji UFUMBUZI WA KUTUKUKA Ili Kulitatua. Tuwasaidieni Hawa Ndugu Zetu ( Wanaume ) Wenye Hii Tabia Tafadhalini.
 

Nawe kwa kupekuapekua mifuko ya watu. Ulifuata nini huko?
 
Hahahahaaa hii thread nimecheka sana.
Wewe GENTAMYCINE akili zako unazijua mwenyewe.
Naona unataka kuwajua wenzio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…