Kwanini wanaume wengi siku hizi hupenda sana kubeba mafuta ya mgando mifukoni?

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Acha kutumia Vileo aiseee we size yako ni soda za kopo...
 
Kwanini Mkuu?
hata biblia inasema mtu mmoja alitendwa vibaya na majambaz kisha wakamtupa barabaran na kutwaa mali zake zote akapita mtu mmoja akamshangaa kisha akasikitika na kwenda zake akapita mwingine nae akafanyavhivyohivyo akapita msamaria mwema akambeba na kumlaza seheminayostahili kisha akampaka MAFUTA
 
Banamala ba darisalama benabo,huku kwetu hakuna hayo mambo
 
wake za watu hatutaki kuwaacha ila tunajua siku za mwizi ni 40 hivyo tunajiandaa kisaikolojia kuwa tukikamatwa na wake za watu tukiwa tunashughulikiwa tusiumie


una kingine?
Upo vizuri mkuu big up
 
Au mafundi ujenzi!
 
wewe ni mwanamke?na ulijuaje


swissme
 
nadhani ni kwa ajili ya kulainisha tu
 
anzisha uzi wako mkuu,tutachangia.
 
Daaaah !!!! aiseeee
 
Kwa wanaoishi nchi za baridi ni kawaida sana. Nivea/lip gloss(or whatever they call) ni lazima, lips zinachubuka na kukauka so lazima ujipake kilainishi.
 
Hehhehehehe imebidi nifurai tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…