miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
Asante mkuuMajibu yote ni sahihi hongera kwa kulijua hilo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuuMajibu yote ni sahihi hongera kwa kulijua hilo
Za tigoKwa Simu Gani?
Mambo ya waruka ukuta hayoHii Tabia Ilianza Kidogo Sana Ila Kadri Siku Zinavyoenda Sasa Imeota MIZIZI Huku Ikileta Sintofahamu Katika Jamii.
Imegundulika Ya Kwamba Wanaume Wengi Sana Siku Hizi Wameanzisha Tabia Ya Kutembea Kama Siyo Kubeba MAFUTA Ya Mgando Katika Either Mifuko Yao Ya Suruali Or Katika Mabegi Yao Na Kuna Wengine Wameonekana Kabisa Kuwa Hawataki Masihara Ambapo Wao Huyabeba Yakiwa Yamezungushwa Katika Gazeti Kidogo Tu Yakiwa Yamechotwa Na Kuyahifadhi Katika Mifuko Yao Ya Mbele Ya Mashati.
Binafsi Nimekutana Nayo Sana Hii Hali Na Nimejiuliza Maswali Mengi Ni Kwanini au Wanaume Wenzangu Siku Hizi Wamekubwa Na Tatizo Gani Sijapata Jibu. Nawaombeni Ndugu Zanguni Kama Kuna Anayejua Nini Kipo Nyuma Ya Pazia Basi Si Vibaya " Akitiririka " Humu Ili Sote Tujifunze Kwani Yawezekana Kuna TATIZO Kubwa Lililojificha Na Pengine Linahitaji UFUMBUZI Wa Kina Na Wa Haraka Sana.
Karibuni Na Naomba Kuwasilisha.
Hàhàa hii ni kwawale wazinifu wanaamini kwamba wakitumia haya mafuta yanazuia maambukizi ya HIVHii Tabia Ilianza Kidogo Sana Ila Kadri Siku Zinavyoenda Sasa Imeota MIZIZI Huku Ikileta Sintofahamu Katika Jamii.
Imegundulika Ya Kwamba Wanaume Wengi Sana Siku Hizi Wameanzisha Tabia Ya Kutembea Kama Siyo Kubeba MAFUTA Ya Mgando Katika Either Mifuko Yao Ya Suruali Or Katika Mabegi Yao Na Kuna Wengine Wameonekana Kabisa Kuwa Hawataki Masihara Ambapo Wao Huyabeba Yakiwa Yamezungushwa Katika Gazeti Kidogo Tu Yakiwa Yamechotwa Na Kuyahifadhi Katika Mifuko Yao Ya Mbele Ya Mashati.
Binafsi Nimekutana Nayo Sana Hii Hali Na Nimejiuliza Maswali Mengi Ni Kwanini au Wanaume Wenzangu Siku Hizi Wamekubwa Na Tatizo Gani Sijapata Jibu. Nawaombeni Ndugu Zanguni Kama Kuna Anayejua Nini Kipo Nyuma Ya Pazia Basi Si Vibaya " Akitiririka " Humu Ili Sote Tujifunze Kwani Yawezekana Kuna TATIZO Kubwa Lililojificha Na Pengine Linahitaji UFUMBUZI Wa Kina Na Wa Haraka Sana.
Karibuni Na Naomba Kuwasilisha.
Wanafanya kazi dangote cement, hivyo wanatembea na mafuta ya kujipaka kukwepa kupaukaHii Tabia Ilianza Kidogo Sana Ila Kadri Siku Zinavyoenda Sasa Imeota MIZIZI Huku Ikileta Sintofahamu Katika Jamii.
Imegundulika Ya Kwamba Wanaume Wengi Sana Siku Hizi Wameanzisha Tabia Ya Kutembea Kama Siyo Kubeba MAFUTA Ya Mgando Katika Either Mifuko Yao Ya Suruali Or Katika Mabegi Yao Na Kuna Wengine Wameonekana Kabisa Kuwa Hawataki Masihara Ambapo Wao Huyabeba Yakiwa Yamezungushwa Katika Gazeti Kidogo Tu Yakiwa Yamechotwa Na Kuyahifadhi Katika Mifuko Yao Ya Mbele Ya Mashati.
Binafsi Nimekutana Nayo Sana Hii Hali Na Nimejiuliza Maswali Mengi Ni Kwanini au Wanaume Wenzangu Siku Hizi Wamekubwa Na Tatizo Gani Sijapata Jibu. Nawaombeni Ndugu Zanguni Kama Kuna Anayejua Nini Kipo Nyuma Ya Pazia Basi Si Vibaya " Akitiririka " Humu Ili Sote Tujifunze Kwani Yawezekana Kuna TATIZO Kubwa Lililojificha Na Pengine Linahitaji UFUMBUZI Wa Kina Na Wa Haraka Sana.
Karibuni Na Naomba Kuwasilisha.
Kwa nini si mzuri?Hahahaha duh, lakin mafuta haya sio mazur kuyatumia kama wanavyofanya