Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
watakuwa wananume wa dar kwani hukimbia hata PANYA ROADlabda wanaume wa huko Dar.
HahahahahaYanatusaidia kukwangulia vocha.........😱
K - YHaaaa mafuta gani Vaseline au babycare?
Mafuta ya mgando yameandaliwa kwa ajil ya matumiz ya nje ya mwil, so ukitumia ndan ya mwil lazima udhurikeKwa nini si mzuri?
watatumia kulia tigo..Nimesoma ila jibu sijapata ila n.a. mimi nimeona wanaume wamebeba mafuta nilijiuliza haya mafuta ya Nini kwa wakiume sikupata jibu
Mara mahindi ya kuchoma watie pilipili, limao na supu waiweke kwenye chupa ya chaiWanaume wa dar utaweza, Hawaishi kutapatapa