Kwanini wanaume wengi siku hizi hupenda sana kubeba mafuta ya mgando mifukoni?

Kwanini wanaume wengi siku hizi hupenda sana kubeba mafuta ya mgando mifukoni?

Duh......ina maana mambo ya mtandao wa tigo??
 
Hawa lazima watakua wa Dar tu....hakuna wengine wanaweza fanya upuuzi huu
 
Labda wanaume wa Dar sasa, maana huku kwetu tunabeba "michembe" na Karanga za maganda huku tukijiburudisha.
 
Wanapaka mdomoni waonekane wamekula midomo isikauke sababu ya njaaa hawali mchana wengi
 
Ungewauliza hao wanaume wenzako au unawaogopa?, wanaume huwa tunaulizana mi nakushangaa wewe. Inakuaje ndugu yangu, wanaume hatunaga roho kubwa kama wale wa jinsia ya ubavu wetu
 
Back
Top Bottom