Kwanini wanaume wengi siku hizi wanabondwa sana na wanawake?

Kwanini wanaume wengi siku hizi wanabondwa sana na wanawake?

kritika

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2018
Posts
410
Reaction score
1,156
Nimekua nikijiuliza kwanini wanaume wa siku hizi wapo weak sana,kwenye wanaume 10 basi ujue tisa wanachezea vichapo kutoka kwa wake zao au wa nawake zao.
Ni aibu sana mtoto wa kiume anakunjwa na mtoto mrembo anakosa pumzi kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] hivi wanaume wa siku hizi mmekua je lakini?
Zamani mwanaume akikupiga kofi tu ni kama umerushiwa fuko la cement ila siku hizi wanaume mikono laini hata ile heshima kwao imepungua sana kwakwel,badilikeni wanaume mnatia aibu sana



Mwenzenu huyo hapo katiwa kabali hata kuongea hawezi sasa najiuliza akifumaniwa huyo kisamvu si kinaliwa kirahisi sana[emoji23] ????

Jpil njema
FB_IMG_1533396706950.jpg
 
Haki sawa kwa wote nipige nikupige... Nikupige unipige


[emoji23] [emoji23] [emoji23] just kidding kofi moja tu kulee
 
Umenunua kisponji ili unipate.

Umepaka make up ili unipate.

Unajibinua ili unipate.

Unaweka ndimu hadi vitunguu kwenye qummer ili unipate.

Unajiongeza manyusi kama katuni wa kwenye gazeti la Uwazi ili unipate.

Umeenda kwa mganga ili unipate.

Umenipata umeamua kunipiga nipige tu haina shida.
 
Back
Top Bottom