Kwanini wanaume wengi tunachukia sana kuitwa/kufananishwa na wanawake?

Kwanini wanaume wengi tunachukia sana kuitwa/kufananishwa na wanawake?

Tajirimsomi

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2017
Posts
4,824
Reaction score
5,587
Hivi uwa ni kwanini mwanaume ukimtukana kwamba yeye ni "demu" inaumizaga sana kuliko matusi yoyote wakati wanawake ukimfananisha na mwanaume ni kama wanaonaga umewapa vyeo?

blame no body
 
Usifanye masihara na jinsia ambayo haipo tayari kupiga magoti kusali kwa dakika kumi ila IPO tayari kupiga magoti kwy ile mbuzi kagoma sytle zaidi ya nusu saaa!
duuh.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ni mtizamo tu Na namna ambavyo jamii imejengwa kuamini kila mwenye kichwa cha chini ni bora wakati mwingine kumbe ni upupu tu

Hata wazazi hupendelea kuzaa vidume kuliko watoto Wa kike wakiona ufahali kumbe hata mtoto Wa kike aweza kuwa bora kuliko mvuta bangi Wa kiume!

DJ sepetu
 
Ngoja nikuache tu ila tafakari ulichocomment kama kina uhusiano?

blame no body
Demu maana yake mchumba wa kike sasa mwanaume ukiitwa mchumba wa kike na mtoto wa kike kazi yake kupakuliwa

Comment yangu ilikuwa nakupa uelewa kwann watu wanakasirika
 
Hakuna mwanaume anaetamani kupigwa pyumbu. Ila wanawake nao ndio wanatamani wao ndio wangekua wanapiga pyumbu.
 
Back
Top Bottom