Kwanini wanaume wengi wa kilokole hawapo romantic?

Exactly
 
Madam vivian original kama unavyotamani awe unavyotaka wewe ndivyo na yeye anatamani uwe anavyotaka yeye.
Mimi sioni kama ana tatizo nachoweza kukushauri ni wewe kumwelewa na kwenda nae alivyo.
Usije kulazimisha kumbadilisha halafu akabadilika zaidi ya pale unapotamani itakuumiza
 
Nenda kaa nae mzungumze wenyewe,muweke wazi msimfiche, funguka na Kama ni mtu muelewa basi atabadilika.

Hapa jf huta pata suluhu ya hilo tatizo kamwe.
Umeongea Mkuu, sioni ni kwa sababu gani huyo mdada ameamua kuleta mambo binafsi ya chumbani hapa kwenye hadahara ya watu, humu kuna watu wana matatizo yao mengi sana, watu wana stress za maisha, hayo anayoongea wanaona kama ni chai ya rangi tu, nadhani huyo mwanamke yuko idle sana, anatakiwa apewe kazi hata ya kuponda kokoto, naamini hatapata muda tena wa kuwaza hayo mambo.
 
Kuna watu wanatofautiana kitabia na mwenendo. Muelewe alivyo, maana unaweza ukataka mabadiliko ukakutana na hapa kazi tu na hapo ndipo utajua kwann neno barabara lina maana tofauti ukibadili usomaji
 
A moment of silence for our soon to be cuckolded brother, muda sio mrefu mtu atamangiwa mke. Nilichogundua huyo chalii yako mlikutana kanisani na alivyokuwa boya akaamini nafsi yake kuwa you were sent to him through his prayers, sasa hapa ndipo shida ilipoanza he placed you on pedestal anakuona kama madhabahu (kumbe foolishly, he was trying to domesticate a crow) anafanya mambo kizembe akiamini analinda heshima kumbe ndo anaharibu. Umezunguka mbuyu unavyoonekana umeogopa kufunguka pia huwa mnatafunana kifo cha mende tu. Huyo chalii must be ready to execute contingency plan la si hivyo ataumia muda sio mrefu akianza kumangiwa and those you perceive to be they're romantic.

I'm not against marriage but I'm contrary it's a very bad deal for men if you're not ready to compromise your own happiness. Nothing to salvage here. Sorry for my tough language but I was speaking my mind.
 
Pole my dear
Usitamani misri. Acha kujifunza uhuni wa social media, just enjoy your husband.

Uandishi wako unaonyesha ni mdada mzuri mwenye adabu zako ila umeanza kutamani usister do.

Please enjoy your life. Thank God unapata vyote. Tukikuadithia ya kwetu utatuonea huruma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TATIZO SIO MUMEO KUA MLOKOLE.

TATIZO NI MUMEO KUOA MWANAMKE WASOENDANA.


mlokole aoe mlokole mwenzake.


Sasa jamaa kalelewa mazingira ya "Hamna Ngono mpaka Ndoa, ..kaja KUOA mwanamke asiye bikra".

Unafikiri hapo kuna chemistry???.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…