Kosa sio ulokole Mkuu...Ukianza kuhoji haya ujue roho wa kuchepuka hayupo mbali nawe, unahitaji ibada ya kumpakwa mafuta!
Siku ambayo atayoanza kua romantic ndo siku atayoanza kuchepuka rasmiNawasalim wapendwa
Uzi huu unawahusu wanandoa au vijana walioshika dini sna, kiasi kwamba wao hawana habar na mambo yanayoendelea dunian.
Kama, unywaji pombe, kuchepuka, kupenda starehe na company, kupenda music wale ambao wamejitoa maisha yao yote kumtumikia Mungu.
Mume wangu ni mtu wa aina hiyo, kwakweli nashukuru Mungu hatujawah kuzozana habar za kutoaminiana tunaishi kwa aman na furaha tele sababu wote tumekutana tuna hofu ya Mungu.
Tatizo ni moja tu, ambalo linaniumiza mwenzangu hayupo romantic kabisaaa, kwa mfano
1) unaweza ukammiss au ukawa unahamu kuchat na mpz wako kimahaba whatsup ukamtext, nimekumiss mume wangu au nakupenda na malove DAV meng yy akakujibu kwa ufupi tu ahsante mke wangu nakupenda pia..
Ukiendelea labda kumchombeza atakwambia nipo bize tunaongea nikirud, au unaweza ukamtex nimekumiss love akakupigia unasemaje mke wangu nipo bize nimechoka kutaype
2) akirud home ni mskajiwangu tutapiga story tutacheza karata na mambo mengi tu, tukiwa chumban ukitaka cjui kumchezea au kumsumbua sumbua kimahaba anakwambia wife niache nipumzike nimechoka kuna siku aliniambia mke wangu ww ni msumbufu kama unataka c useme nikupe mm nilale nikamwambia ndio nataka basi akanipa unyumba akalala.
Yaan kwa kifupi hana muda na mapenz kwake tendo LA ndoa c lazima yupo bize na famila na mambo ya kanisan na kazi zake.
Kiukweli wanawake sometimes tunapenda kubendelezwa kupetiwa petiwa na kupewa raha,
Sio kwamba kabadilika Ila ndivyo alivyo, na sio kwamba sio mwaminifu ila hayupo hivyo.
Ukitaka unyumba ujirengeshe akupe then mlale mnaweza mkalala pia unamwambia nikumbatie anakwambia mm sipat usingizi mpaka nijifunike shika nilalalie tumbo basi atakjfurahisha dk 5 then anakwambia nataka nilale hiyo anavuta shuka mpaka asbuh.
Nifanyaje niweze mbadilisha mume wangu, awe romantic namm nifurahie mapz, mengi nimejitahid amebadilika lakin kwenye mapz ndo mtihan.
NB:Sihitaji ushuri wa kuambiwa chepuka,
sio wanaume wote kwenye ndoa zao wanachepuka wengine wanajiheahimu na wana hofu ya Mungu,
Na sio kila mwanamke mzur akiwa na chngamoto kwenye ndoa yke solution ni kuchepuka, muda mwingine inabid utafute ufumbuz wa tatizo ili uzidi kujenga nyumba yko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisaaa kama ulikuepo, ntajitahidi niende nae taratibu
Humu ndan napapenda kuna watu wanauelewa mkubwa sna ubarikiwe kwa ushaur wko nimeupokea ntaufanyia kaz SK2016,
Sent using Jamii Forums mobile app
USHAURI WAKO NI MZURI, ILA NAMBA MBILI SIO SAHIHI, NI KAMA MWANZO WA MATATIZOPole sana dada!
Mimi nadhani kwanza kabisa umwambie ukweli ni kitu gani watarajia zaidi kutoka kwake.
Pili ukiona wewe hakuelewi, nenda kwa mchungaji wake kanisani, watu wenye hofu wanawaheshimu sana wachungaji na viongozi wao wa kiroho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawasalim wapendwa
Uzi huu unawahusu wanandoa au vijana walioshika dini sna, kiasi kwamba wao hawana habar na mambo yanayoendelea dunian.
Kama, unywaji pombe, kuchepuka, kupenda starehe na company, kupenda music wale ambao wamejitoa maisha yao yote kumtumikia Mungu.
Mume wangu ni mtu wa aina hiyo, kwakweli nashukuru Mungu hatujawah kuzozana habar za kutoaminiana tunaishi kwa aman na furaha tele sababu wote tumekutana tuna hofu ya Mungu.
Tatizo ni moja tu, ambalo linaniumiza mwenzangu hayupo romantic kabisaaa, kwa mfano
1) unaweza ukammiss au ukawa unahamu kuchat na mpz wako kimahaba whatsup ukamtext, nimekumiss mume wangu au nakupenda na malove DAV meng yy akakujibu kwa ufupi tu ahsante mke wangu nakupenda pia..
Ukiendelea labda kumchombeza atakwambia nipo bize tunaongea nikirud, au unaweza ukamtex nimekumiss love akakupigia unasemaje mke wangu nipo bize nimechoka kutaype
2) akirud home ni mskajiwangu tutapiga story tutacheza karata na mambo mengi tu, tukiwa chumban ukitaka cjui kumchezea au kumsumbua sumbua kimahaba anakwambia wife niache nipumzike nimechoka kuna siku aliniambia mke wangu ww ni msumbufu kama unataka c useme nikupe mm nilale nikamwambia ndio nataka basi akanipa unyumba akalala.
Yaan kwa kifupi hana muda na mapenz kwake tendo LA ndoa c lazima yupo bize na famila na mambo ya kanisan na kazi zake.
Kiukweli wanawake sometimes tunapenda kubendelezwa kupetiwa petiwa na kupewa raha,
Sio kwamba kabadilika Ila ndivyo alivyo, na sio kwamba sio mwaminifu ila hayupo hivyo.
Ukitaka unyumba ujirengeshe akupe then mlale mnaweza mkalala pia unamwambia nikumbatie anakwambia mm sipat usingizi mpaka nijifunike shika nilalalie tumbo basi atakjfurahisha dk 5 then anakwambia nataka nilale hiyo anavuta shuka mpaka asbuh.
Nifanyaje niweze mbadilisha mume wangu, awe romantic namm nifurahie mapz, mengi nimejitahid amebadilika lakin kwenye mapz ndo mtihan.
NB:Sihitaji ushuri wa kuambiwa chepuka,
sio wanaume wote kwenye ndoa zao wanachepuka wengine wanajiheahimu na wana hofu ya Mungu,
Na sio kila mwanamke mzur akiwa na chngamoto kwenye ndoa yke solution ni kuchepuka, muda mwingine inabid utafute ufumbuz wa tatizo ili uzidi kujenga nyumba yko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mapenzi halisi hayapo... Yapo ya kudanganya kwa muda mfupi... Muda ukiisha lazima huwa ni kila mtu kuendelea au kuachanga.. Kwa vile ndoa ya kudumu , haitakuwa hivyo kwa vile mapenzi ya ndoa ni halisi.
Huyo mumeo hayo Mambo sioni Kama Yana uhusiano wowote na ulokole, sema tu ndo weakness yake
Piga show ya maanaNitalifanyia kazi mke wangu kuanzia leo nitaanza kuwa romantic ila ungenambia tu kulko kuja kunitangazia uku
yess BiShoo haswaaAaa
Kama Ni Mchaga msamehe bure wale jamaa wanawaza pesa masaa yote. Huku mtaani wanasaidiwa sanaHuyo mumeo hayo Mambo sioni Kama Yana uhusiano wowote na ulokole, sema tu ndo weakness yake
Aisee mshukuru Mungu vitu vya muhimu zaidi anavyo esp hofu ya Mungu.
Unaweza kupata wa kuchart na wewe masaa 40 lakin Malaya mkubwa