Kwanini wanaume wengi wa kilokole hawapo romantic?

Kwanini wanaume wengi wa kilokole hawapo romantic?

Ukianza kuhoji haya ujue roho wa kuchepuka hayupo mbali nawe, unahitaji ibada ya kumpakwa mafuta!
Kosa sio ulokole Mkuu...

Demu alipaswa kuolewa na mwanaume mwenye kariba yake ..

Sasa demu keshazoea mambo hayo...kaja kuolewa na mlokole....

ALAFU ANAJIFANYA KUONA ULOKOLE WA MUMEWE KAMA TATIZO.

ANASHINDWA KUJIONA UHANGAIKAJI WAKE KABLA YA NDOA, NDO UMEMFIKISHA HAPA...

watu wabadilike.
 
Akiwa mchepukaji ishu
Akiwa mvivu kitandani ishu
Akiwa romantic sana ishu
Kira kitu kwa mwanamke ishu jamani
So ajabu sikumoja ukamchepuka kwasababu hiyo
Hakuna mkamilifu nenda namapungufu yake

kelphin kepph
 
Nawasalim wapendwa
Uzi huu unawahusu wanandoa au vijana walioshika dini sna, kiasi kwamba wao hawana habar na mambo yanayoendelea dunian.
Kama, unywaji pombe, kuchepuka, kupenda starehe na company, kupenda music wale ambao wamejitoa maisha yao yote kumtumikia Mungu.

Mume wangu ni mtu wa aina hiyo, kwakweli nashukuru Mungu hatujawah kuzozana habar za kutoaminiana tunaishi kwa aman na furaha tele sababu wote tumekutana tuna hofu ya Mungu.

Tatizo ni moja tu, ambalo linaniumiza mwenzangu hayupo romantic kabisaaa, kwa mfano
1) unaweza ukammiss au ukawa unahamu kuchat na mpz wako kimahaba whatsup ukamtext, nimekumiss mume wangu au nakupenda na malove DAV meng yy akakujibu kwa ufupi tu ahsante mke wangu nakupenda pia..
Ukiendelea labda kumchombeza atakwambia nipo bize tunaongea nikirud, au unaweza ukamtex nimekumiss love akakupigia unasemaje mke wangu nipo bize nimechoka kutaype

2) akirud home ni mskajiwangu tutapiga story tutacheza karata na mambo mengi tu, tukiwa chumban ukitaka cjui kumchezea au kumsumbua sumbua kimahaba anakwambia wife niache nipumzike nimechoka kuna siku aliniambia mke wangu ww ni msumbufu kama unataka c useme nikupe mm nilale nikamwambia ndio nataka basi akanipa unyumba akalala.
Yaan kwa kifupi hana muda na mapenz kwake tendo LA ndoa c lazima yupo bize na famila na mambo ya kanisan na kazi zake.

Kiukweli wanawake sometimes tunapenda kubendelezwa kupetiwa petiwa na kupewa raha,

Sio kwamba kabadilika Ila ndivyo alivyo, na sio kwamba sio mwaminifu ila hayupo hivyo.
Ukitaka unyumba ujirengeshe akupe then mlale mnaweza mkalala pia unamwambia nikumbatie anakwambia mm sipat usingizi mpaka nijifunike shika nilalalie tumbo basi atakjfurahisha dk 5 then anakwambia nataka nilale hiyo anavuta shuka mpaka asbuh.

Nifanyaje niweze mbadilisha mume wangu, awe romantic namm nifurahie mapz, mengi nimejitahid amebadilika lakin kwenye mapz ndo mtihan.

NB:Sihitaji ushuri wa kuambiwa chepuka,

sio wanaume wote kwenye ndoa zao wanachepuka wengine wanajiheahimu na wana hofu ya Mungu,

Na sio kila mwanamke mzur akiwa na chngamoto kwenye ndoa yke solution ni kuchepuka, muda mwingine inabid utafute ufumbuz wa tatizo ili uzidi kujenga nyumba yko.

Sent using Jamii Forums mobile app
Siku ambayo atayoanza kua romantic ndo siku atayoanza kuchepuka rasmi
 
Sio wanaume walokole tu hata baadhi ya wanaume waliopiga kitabu sana mara nyingi wapo hivyo. Sio kwamba hakupendi bali maana sehemu kubwa ya akili zao zipo occupied . Ni wewe tu uwe mtundu kumbadilisha kumchangamsha and such.
 
Pole sana dada!

Mimi nadhani kwanza kabisa umwambie ukweli ni kitu gani watarajia zaidi kutoka kwake.

Pili ukiona wewe hakuelewi, nenda kwa mchungaji wake kanisani, watu wenye hofu wanawaheshimu sana wachungaji na viongozi wao wa kiroho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisaaa kama ulikuepo, ntajitahidi niende nae taratibu
Humu ndan napapenda kuna watu wanauelewa mkubwa sna ubarikiwe kwa ushaur wko nimeupokea ntaufanyia kaz SK2016,

Sent using Jamii Forums mobile app

HAMKA TOKA USINGIZINI, NATAMANI KUTAMKA NENO ILA NAHOFIA USIJE PATA BP. JARIBU KUMCHUNGUZA KWA MAKINI SANA, USJE UKASEMA KWAMBA YUPO BIZE MNO NA KAZI..NAISHIA HAPA
 
Pole sana dada!

Mimi nadhani kwanza kabisa umwambie ukweli ni kitu gani watarajia zaidi kutoka kwake.

Pili ukiona wewe hakuelewi, nenda kwa mchungaji wake kanisani, watu wenye hofu wanawaheshimu sana wachungaji na viongozi wao wa kiroho.

Sent using Jamii Forums mobile app
USHAURI WAKO NI MZURI, ILA NAMBA MBILI SIO SAHIHI, NI KAMA MWANZO WA MATATIZO
 
Tafuta kazi na wewe uwe unakwenda kazini. Haya ndio matatizo ya kuwa na housewife. Degree zenu za kuchoka ni tofauti kabisa. Vinginevyo akuzalishe na wewe uwe busy na watoto hapo nyumbani.
Nawasalim wapendwa
Uzi huu unawahusu wanandoa au vijana walioshika dini sna, kiasi kwamba wao hawana habar na mambo yanayoendelea dunian.
Kama, unywaji pombe, kuchepuka, kupenda starehe na company, kupenda music wale ambao wamejitoa maisha yao yote kumtumikia Mungu.

Mume wangu ni mtu wa aina hiyo, kwakweli nashukuru Mungu hatujawah kuzozana habar za kutoaminiana tunaishi kwa aman na furaha tele sababu wote tumekutana tuna hofu ya Mungu.

Tatizo ni moja tu, ambalo linaniumiza mwenzangu hayupo romantic kabisaaa, kwa mfano
1) unaweza ukammiss au ukawa unahamu kuchat na mpz wako kimahaba whatsup ukamtext, nimekumiss mume wangu au nakupenda na malove DAV meng yy akakujibu kwa ufupi tu ahsante mke wangu nakupenda pia..
Ukiendelea labda kumchombeza atakwambia nipo bize tunaongea nikirud, au unaweza ukamtex nimekumiss love akakupigia unasemaje mke wangu nipo bize nimechoka kutaype

2) akirud home ni mskajiwangu tutapiga story tutacheza karata na mambo mengi tu, tukiwa chumban ukitaka cjui kumchezea au kumsumbua sumbua kimahaba anakwambia wife niache nipumzike nimechoka kuna siku aliniambia mke wangu ww ni msumbufu kama unataka c useme nikupe mm nilale nikamwambia ndio nataka basi akanipa unyumba akalala.
Yaan kwa kifupi hana muda na mapenz kwake tendo LA ndoa c lazima yupo bize na famila na mambo ya kanisan na kazi zake.

Kiukweli wanawake sometimes tunapenda kubendelezwa kupetiwa petiwa na kupewa raha,

Sio kwamba kabadilika Ila ndivyo alivyo, na sio kwamba sio mwaminifu ila hayupo hivyo.
Ukitaka unyumba ujirengeshe akupe then mlale mnaweza mkalala pia unamwambia nikumbatie anakwambia mm sipat usingizi mpaka nijifunike shika nilalalie tumbo basi atakjfurahisha dk 5 then anakwambia nataka nilale hiyo anavuta shuka mpaka asbuh.

Nifanyaje niweze mbadilisha mume wangu, awe romantic namm nifurahie mapz, mengi nimejitahid amebadilika lakin kwenye mapz ndo mtihan.

NB:Sihitaji ushuri wa kuambiwa chepuka,

sio wanaume wote kwenye ndoa zao wanachepuka wengine wanajiheahimu na wana hofu ya Mungu,

Na sio kila mwanamke mzur akiwa na chngamoto kwenye ndoa yke solution ni kuchepuka, muda mwingine inabid utafute ufumbuz wa tatizo ili uzidi kujenga nyumba yko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona uchu wako wa kuchepuka umekuwa wa kiwango kisichovumilika ila tu unamtafutia jamaa sababu
 
Naam inaonekana bado ni wapya kwenye ndoa. Anataka mapenzi ya kwenye drama. Hayo hayawezekani kwenye ndoa kwa watu amabo wana kazi zao za kuwaingizia kipato.
Mapenzi halisi hayapo... Yapo ya kudanganya kwa muda mfupi... Muda ukiisha lazima huwa ni kila mtu kuendelea au kuachanga.. Kwa vile ndoa ya kudumu , haitakuwa hivyo kwa vile mapenzi ya ndoa ni halisi.
 
Mi sielewi mtoa mada anataka nini kwa huyo mmewe. Ameshuhudia kuwa wanacheza hata karata,amesema ni rafiki yake na bado anamponda hayuko romantic,wakati hata simu yake anapokea na anarespond vizuri.
Nakushauri hata usiongee na mumeo,yuko romantic na mhalisia sana, yaani yuko perfect. Sema wewe ndio hujui,
ila badilika usimpigie mara kwa mara kutaka story nae,mwache afanye kazi.

Nb. Wanaume wengi anayofanya mmeo kwako,hawawafanyii wake zao,labda kwa michepuko.
 
Huyo mjuba kashika dini hadi kuchat kimapenzi au kukumbatia mke wake anaona ni dhambi, ipo siku ataacha kabisa kukuchakata akwambie dini haipendi haya mambo
 
Huyo mumeo hayo Mambo sioni Kama Yana uhusiano wowote na ulokole, sema tu ndo weakness yake
Aisee mshukuru Mungu vitu vya muhimu zaidi anavyo esp hofu ya Mungu.
Unaweza kupata wa kuchart na wewe masaa 40 lakin Malaya mkubwa
Kama Ni Mchaga msamehe bure wale jamaa wanawaza pesa masaa yote. Huku mtaani wanasaidiwa sana
 
Back
Top Bottom