Kwanini wanaume wengi wa kilokole hawapo romantic?

Kwanini wanaume wengi wa kilokole hawapo romantic?

Ikiwa kumbadilisha ni ngumu, badilika wewe. Muelewe hivyo hivyo alivyo.

Kuna wenzako wanamtafuta kama huyo. Hata mimi kuchatichati sana kuna muda naona kama kero au mambo ya vijana.
Naweza nisiwe sahihi lakini endapo huko awali ulishakua na watu romantic usitake mme wako awe kama wao.

Kwake mambo ya msingi ndio kipaumbele. Mie nilijua hakupi haki yako, kumbe anatekeleza majukum yake ipasavyo isipokua mtindo wake ndio unakutatiza? Hilo usilichukulie kama tatizo

Hii inatukumba sie tuliolelewa na kukulia katika ile imani na misingi ya hofu ya Mungu. Wala hana tatizo lolote.
Duuuh imenikumbusha ngoma ya Mondi ya Zilipendwa... Haina kutomasa, unachanua miguu na kugonga [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sasa ww dada cc walokole tumekulia dini sana udwambu udwambu sisi hatuna ile show si anakupa ile roho inataka mambo mengine waachie wazungu.
 
Back
Top Bottom