Kwanini wanaume wengi wachovu kitandani?

heri lakini msituzeeshe bure kwa kutubinuabinua usiku kucha.dkk 2 watu tunalala kwa raha hadi mwezi uishe ndo kingine tena

kwa jinsi hiyo wewe hata urafiki wa muda sitaki........ungeongeza japo tu-round tutatu hivi angalau kidogo lakini kimoko kibaya zaidi dk 2 mmmmmmmmmm hapana.
 
wanawake hawatafuti dawa za kuongeza nguvu? Inawezekana hao wanaokaa tu bila kujishughulisha wakati wa mchezo wana tatizo kama linalowapata wanaume.
 
Kwani wanawake hawatafuti dawa za kuongeza nguvu? Inawezekana hao wanaokaa tu bila kujishughulisha wakati wa mchezo wana tatizo kama linalowapata wanaume.
 
Aaa tunajifanyisha tuu,mademu wenyewe hawahongi,waambie wawe wanahonga uone tunavyotoa ufanisi!!!
 
Nahisi kuna sababu nyingi lakini mimi nataka kuizungumzia moja. Sehemu kubwa ya viungo vya mwili wa mwanamke (mapaja, matiti, ****** etc) na baadhi ya mavazi (chupi, gaguro, sidiria) ni vitu nyeti sana katika kuongezi ashiki na mvuto na mashamsham kwa mwanaume katika tendo zima la ndoa. Vitu hivi zamani vilikuwa ni adimu sana kuonekana hadharani. Siku hizi mwanaume kuanzia asubuhi hadi anaingia kitandani anapambana na vitu hivi uso kwa uso akiwa barabarani, daladalani, ofisini na kungweneko na hata kwenye nyumba za ibada. Matokeo yake ni kwamba sehemu ya ubongo inayohusika na maswala ya mapenzi ambayo imezoea kuona vitu hivyo nyeti wakati nyeti tu wa maandalizi ya tendo la ndoa inajitune kuzoea kuwa maumbile na mavazi haya ni vitu vya kawaida vinavyopatikana wakati wote ule si lazima wakati wa majambozi tu. Sasa wakati wa tendo la ndoa saikolojikale hakuna kimpya ambacho utakiona kwa mpenzio hujakiona kutwa nzima, paja lake halina tofauti na uliloliona kwenye daladala halikadalika, ******, matiti yote umeyaona kutwa nzima, chuppi, sidiria na magaguro yapo bwelele mabarabarani, sasa haya yote yanapunguza mvuto na nyege za mwanaume kwakuwa hakuna kipya kwake. Sasa tunapowaambia kina dada mjihifadhi vizuri hasa hizo sehemu nyeti wao wanapinga sana wanasema tusiwacfhagulie nguo za kuvaa sasa hayo ndo matokeo yake. Wapo wanakaopinga dhana hii lakini jaribuni kutafakari kwa makini. Halafu tupunguze uzinzi, wewe mchana umelala na mwanamke kisha unataka usiku upafom kama kawaida haiwezekani.

 
Pale unapojiandaa sasa kutoa ushirikiano, mwenzio keshamaliza. sasa sijui utaendelea kushirikiana na nani?
Kubalini yaishi katika njia nyepesi...


 
wewe umepata utundu vile umeenda jandoni. basi ukikutana na ambaye hakufanyiwa unyago inabidi umpe darasa, sio umkimbie na kumtangaza au kutomridhisha. mambo ya jando na unyago hayako kwenye makabila yote. na pia hata kwa yale makabila ambayo walitilia maanani sana siku za nyuma, wanayaacha sasa hivi. mimi nadhani kuwajibikiana ni utundu wa mtu tu haihusiani na kukata viuno wala nini. unaweza ukawa huwezi kukata kiuno, lakini una utundu mwingine ambao mwanamme yoyote atakukubali. kama unapenda kukatiwa kiuno basi mjuze mwenzio na mfunze, maana si wanaume wote wanapenda hiyo biashara ya mauno...

 
Ndugu mteja, muda wa kujisajili na huduma za Blackberry utakwisha kesho. Tafadhali tuma BB30 kwenda 15518 kujisajili tena ufurahie huduma za kutoka Tigo.
 
Hii hali ilikuwepo toka zamani. Lakini kwa sababu ya kutokua na mahali pa kusemea na miiko mbalimbali hali hii haikuonekana tatizo. Sasa hivi kwa sababu ya utandawzi na watu kujua haki zao ndo maana inaonekana tatizo, watu wanaweza kuongea transparently.

Nikama ambavyo watu waliamini kuwa wanaume woote wanauwezo wa kuzalisha. Hivyo wanaume dont worry. There are few techiniques you can apply. nitawapa siku nyibgine
 
Acheni tuu hao waganga watoe hzo dawa za kuongeza nguvu za kiume na kuongeza maumbile ya uume kuna binti kamuacha boyfriend wake eti kisa ana kadudu kadogo.
 

mbona kama vile umeuliza swali alafu umejijibu mwenyewe kwa kutoa maelezo kwanini ni wachovu??we umeshapima wangapi kuona ni wachovu??
 
heri lakini msituzeeshe bure kwa kutubinuabinua usiku kucha.dkk 2 watu tunalala kwa raha hadi mwezi uishe ndo kingine tena

Wanawake siku hizi wako bize na kutafuta fedha ikifika usiku ni wachovu mno, ukimtwanga kimoja tu ,malalamiko kibao,ooh nimechoka,tupumzike kwanza.
 
wanawake wengi cyo wabunifu kitandani wanakuwa kama magogo.ni kulala tuuu.hawajui jinsi ya kumpagawisha mwanaume pia wachafu,ndo sababu mara nyingi 2naona kero.au adhabu ndo mana nikipita kimoja cha pili mpaka majaliwa.wanawake kuweni wabunifu.na kikubwa ni kuwa wasafi.mkizingatia hayo hata vya kuunganisha vi tano inawezekana
 
Kwa kwa kwa kwa! You have made my day jamani! Anajificha uso tena! na anasema mbona kidogo duh, sa apo si anaua stim zote jamani!

akisema mbona kidogo mwambie sikujua kuwa
nakuja kutumbuiza uwanja wa wazi
 
dah, wanaume wachovu kitandani, goli moja hoi; wanawake wanalala kama magogo, wachafu...; ngoja tuendelee kuangalia mpambano sijui nani ataibuka mshindi...; on a serious note, ni vizuri kila upande ukakubali mapungufu yao na kuyafanyia kazi badala ya kutupiana lawama tu
 
Kizazi cha waume wa mbegu kiliisha zamani, wasasa mauzauza tu.
kama ambavyo kizazi cha wanawake wa shughuli kilivyoisha...wasasa ni wapenda tigo na shhingo ya kuku ndo mana
wanazaa mashoga!
 
hamna mapungufu pande mbili hapo. ni upande mmoja hapo kwa bold ya blue. mfano ukishikwa na uharo utajisaidia hata kwenye choo kichafu 100% japo kwa kufumba macho...lakini hutatamani tena kurudia pale wala kuvuta hisia za choo.
 
hamna mapungufu pande mbili hapo. ni upande mmoja hapo kwa bold ya blue. mfano ukishikwa na uharo utajisaidia hata kwenye choo kichafu 100% japo kwa kufumba macho...lakini hutatamani tena kurudia pale wala kuvuta hisia za choo.

mkuu unataka kusema hakuna tatizo linalochangia poor performance kwa upande wa wanaume? let's be fair on this...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…