Kwanini wanaume wengi wachovu kitandani?

Kwanini wanaume wengi wachovu kitandani?

sijaelewa[/QUOTE] The Boss huyu Nambe kakosea Ku-Quote yale maneno ya huyo Dada wa Kinigeria mwisho ni kuwa huyo mDada ana limtundu likubwa mfano wa kopo la KIMBO na ndio alikkuwa akimjibu Simba Mkali ni kwelikm mwanamke ana limshimo huwezi chukua dk hata km una kigonela ili tu umridhishe, halafu wana Domo kweli hawawezi kuwaliwaza waume zao hadi watakapoenda Nyumba Ndogo
 
Aisee tuheshimiane...
Umetuvunjia adabu bana unajua kwa kauli yako utasababisha
tunyooshewe vidole huku mtaani, sisi wengine ni vidume wa
mbegu ingawa hatutaki kujitangaza
 
jamani hii ni kweli kabisaaaa, lkn cha ajabu ndani hawezi, (hakuridhishi) ila utakuta anamtaka mwanamke wa nje sasa mi hapo huwa nashindwa kuelewa iwapo ndani tu kimoja kalala, sasa huyo mwingine tena wa nini?

ukiona hivyo tatizo linaweza kuwa kwako.
 
Umetuvunjia adabu bana unajua kwa kauli yako utasababisha
tunyooshewe vidole huku mtaani, sisi wengine ni vidume wa
mbegu ingawa hatutaki kujitangaza

Na kile kizazi kinachongeza manhood ni wakina nani?
 
I wish all ladies wangepita hapa waone haya maneno kuntu..............................

pamoja na sababu nyingi zilizotolewa hapa.........................

Hii comment ni muhimu mno wakaijua hawa dada zetu!wachawi ni wao wenyewe..................................

Kwavile mwanaume ni robot eeh! Yaani mwanamke ndio anamswitch off n on!

Sijapitia huu Uzi tangu Feb, nimepitia comments mpaka nilivofika hapa nimeshindwa kujizuia kucomment.

Anyway ngoja nimalizie page 2 zilizobaki nitarespond comments zote zilizonoquote!
 
Kweli hili tatizo kila mtu ajangilie kwa nafsi yake wanaume hatutaki kuambiwa ukweli japo inauma hili tatizo lipo na linaelekea kuwasugu badala ya kutafuta suluhu tunaishia kuwalaumu wanawake, ohoo ana K kubwa aniridhish na mengine mengi tu. MBAAZI IKIKOSA MAUA HUSINGIZIA JUA . Pls men tuache kusingizia wanawake kila kitu.

Sausage umesema kweli, hii issue ya kusingizia au kuhamisha tatizo kwa wanawake imezidi sana.
1. Uchumi nyumbani ukienda vibaya ni mwanamke tena akikosa sababu atasingizia hata mikosi/gundu anaihusisha na mwanamke.
2. Watoto wakiwa na tabia mbaya, ni mwanamke
3. Kazini akiiba na kufukuzwa kazi, ni mwanamke
4. Akushindwa kuperform kitandani ni mwanamke
5. Akifa siku ya hukumu bado atasingizia mwanamke.
 
sijaelewa[/QUOTE]

Aliquote post ya Pota ameichanganya na hiyo story ya Nigeria.

Swali la mwisho (R u from Nigeria???) meaning na mdada alikuwa na huge shimo!
 
Sina cha kuongeza wenye mapungufu wanajijua, wakiamua kujiaminisha hawana, kimpango wao. Wakiamisha lawama, inawasaidia kidogo lkn haiondoi tatizo, wakiamua kufuata ushauri wa watu humu ndani bado ni uamuzi wao.

Lkn kitu kingine labda ambacho hakijasemwa ni kuwa wazi na kushare tatizo lako kama unalo na mwenzi wako kuliko kusema ngoja nikajaribu kungine (nje) ambapo ndipo mnapojiaibisha zaidi; kwani kuna uwezekano mkubwa wakawatangaza na kuonekana kituko. Mkeo hawezi kutoa mapungufu yenu nje, lkn hawara will be happy kusema jinsi gani ulivyo na kwamba anachopata toka kwako ni pesa tu.

Mwisho, wewe mwanaume unajijua wewe tu; hivyo jisemee wewe. Mimi mwanamke ninaweza wajua wanaume hata 7, hivyo naweza semea wanaume. Lkn pia as mwanamke najijua mimi tu na hivyo naweza with confidence jisemea mwenyewe, na wewe mwanaume unatujua say wanawake 6 na hivyo unaweza kutusemea au kutucompare wanawake.
 
hili jambo ni la kuangalia sana hasa kwa sisi wanaume tuanaotaka kuimarisha ndoa zetu. na swala la kusema kuwa wanawake wengine hawajui mapenzi kwa nini usimfundishe ili mpate raha mnayoitaka? mana si kila mwanamke au mwanaume anayajua mapenzi au ameshawahi kufanya mapenzi kabla. kama itakuwa shida sana na kuepushana kutiana shombo ni bora ukatangaza experience ya mpenzi unayetaka ili usije mnyima raha duniani.:A S 465:
 
Kizazi cha waume wa mbegu kiliisha zamani, wasasa mauzauza tu.

MadameX, tafadhali naomba urekebishe usemi wako. Mbona mimi naendeleza mila kama kawa? Try me ndo uje na maneno hayo, lol!
 
MadameX, tafadhali naomba urekebishe usemi wako. Mbona mimi naendeleza mila kama kawa? Try me ndo uje na maneno hayo, lol!

Don't force me to change what I believe, its freedom of speach anyway. Thank you for the offer but I am not interested. LoL
 
Sina cha kuongeza wenye mapungufu wanajijua, wakiamua kujiaminisha hawana, kimpango wao. Wakiamisha lawama, inawasaidia kidogo lkn haiondoi tatizo, wakiamua kufuata ushauri wa watu humu ndani bado ni uamuzi wao.

Lkn kitu kingine labda ambacho hakijasemwa ni kuwa wazi na kushare tatizo lako kama unalo na mwenzi wako kuliko kusema ngoja nikajaribu kungine (nje) ambapo ndipo mnapojiaibisha zaidi; kwani kuna uwezekano mkubwa wakawatangaza na kuonekana kituko. Mkeo hawezi kutoa mapungufu yenu nje, lkn hawara will be happy kusema jinsi gani ulivyo na kwamba anachopata toka kwako ni pesa tu.

Mwisho, wewe mwanaume unajijua wewe tu; hivyo jisemee wewe. Mimi mwanamke ninaweza wajua wanaume hata 7, hivyo naweza semea wanaume. Lkn pia as mwanamke najijua mimi tu na hivyo naweza with confidence jisemea mwenyewe, na wewe mwanaume unatujua say wanawake 6 na hivyo unaweza kutusemea au kutucompare wanawake.

Kaunga, chonde chonde....wengine tuko sawa ati. Muulize Erotica.
 
Last edited by a moderator:
Don't force me to change what I believe, its freedom of speach anyway. Thank you for the offer but I am not interested. LoL

Haaahaaa! Na haujavunja kifungu chochote cha katiba...ila I wonder unakutana na wanaume wa aina gani ambao hawajui kufanya yale wanayotakiwa kufanya. Jaribu sisi kuku wa kienyeji utasahau shida zote.
 
Wengi unamaanisha nini? Na wewe upo kwenye wachache au wengi?
 
Teh teh teh,Nlikuwa nae huyo ni hatar,Nlikua nae UDBS pale alinichezea mchezo mpk nlikuwa nackia moto afu hachok huyo ikafikia k inajamba!
 
Halafu usisikie ya kuambiwa...uhondo wa ngoma uingie ucheze ati

Ulivyoninyanyasia shosti wangu, unafikiri nimesahau. Halafu wewe unapenda kubebembelezwa nami pia napenda bembelezwa unaona shida hiyo! In as much as natamani kuingia mwenyewe kuicheza ila kuitesekea akuu! LOL
 
Back
Top Bottom