Kwanini wanaume wengi wana sura mbaya?

Hizo ni sura za kiume sio sura mbaya yaani ni sawa na simba dume lina manyoya kichwani wakati simba jike lina sura kama paka kwa muonekano (ubaya wa sura umekuja kutokana na binadamu kuwa na akili kuliko wanyama wengine na kuanza kuweka vigezo matokeo mtu anaefanana na mwanamke kwa sura anaitwa mwanamume mzuri)
 
Mara unakula msosi kwa kulumangia, mara unakula mchunga yaani kila unapomeza tonge unakunja sura mwisho wa siku sura inabadilika na hii ndo sababu hata kwa mademu pia unakuta wale wa ushuani wanaonekana wapo bomba lakini wale wa uswahilini wanaonekana majanga
 
Unataka sura za kirembo nenda saloon zao utawakuta
 
Teh teh ikabidi umuache hewani
 
MLETA POST ITAKUWA UNAUMWA WAPI ULISHAWAHI KUONA MWANAUME KAKOSA KUOA KISA SURA MBAYA???
Naamini hakuna mwanaume mwenye sura mbaya laasivyo baba ake asingekubaliwa kumuoa mama ake ..na nahisi wewe umefanana na baba ako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…