Kwanini wanaume wengi wana sura mbaya?

Taratibu hebu
 
Mwanaume sio sura mama. Mwanaume kazi. Ukiwa na sura nzuri alafu hata kulea mtoto mmoja huwezi wakati wenzio wana sura za kiume na wana watoto 20+ hao ndo wanaume
 
Mwanamume awe na sura nzuti ili iwe nini,mwanamume ndiye mtakaji kwa hiyo hatakosa,kwanza wanawake wako wengi,hakuna sababu ya uzuri kwa upande wa mwanamume
 
Kati ya MWANAUME na mwanamke nani Ana sura MBAYA? Jibu ni mwanamke Ndy Ana sura MBAYA.... umeshawahi kuona MAKE UP ZA KIUME? na KOPE ZA MACHO za kiume? Kama mnajiamini ni warembo MAKE UP na mawigi ya nn?
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji115]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…