Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,587
Ngoja nije pm tuongee m ninayo sura mbaya ya kiume daraja la kwanza AMe nawapenda hao wanaume wa sura mbaya sura za kiume
Wanaume hawanaga sura mbaya ndio maana hawajirembi na Bado nyie mnaopenda vizuri mnawapenda lakini NYIE sasa sababu hamna sura nzuri muda wote mmejiremba na hamuwezi kutoka bila kujipodoa sababu mna sura MBAYA[emoji2] [emoji2] [emoji89]Enyiwanaume kwanini wenye sura mbaya mkowengi
Ukuji sasa,nitakupatiajeKila siku unasema kuhusu kunipa zawadi kunipa hunipi
UngeharibuKuna mwaka exmwenza wangu aliniambia natamani nikubadilishe kichwa, una kichwa kibaya sana na pua zako kama unalia.
Nikamuangalia nikashindwa jibu maana muda huo kichwani majibu zaidi ya tisa yalikua yanazunguka kila moja linataka kutoka yakawa yanagongana tu huko ndani
Nitakuja siku moja kiwanja chako nichukue zawadi zanguUkuji sasa,nitakupatiaje
Hauna sura mbaya wewe una sura nzuriNgoja nije pm tuongee m ninayo sura mbaya ya kiume daraja la kwanza A
MmmhSwadakta,murembo ukuje uchukue zawadi yako
Ndo maana nakupendaga njoo nikupe zawadiMe nawapenda hao wanaume wa sura mbaya sura za kiume
Sura yangu umeionea wap? M hard-core face am telling youHauna sura mbaya wewe una sura nzuri
Sawa naona umeshajisahau tenaSura yangu umeionea wap? M hard-core face am telling you
Nipe tu hapa hapa hiyo zawadiNdo maana nakupendaga njoo nikupe zawadi
Kama ulitilia maanani Ile post ya mama Sabrina umepotea mtawa wangu siwezi jianika humuSawa naona umeshajishau tena
Ooh na unavyoitumiaga kwa avatar yako inakuaga ni niniKama ulitilia maanani Ile post ya mama Sabrina umepotea mtawa wangu siwezi jianika humu
Shunie.....Nipe tu hapa hapa hiyo zawadi
Huko Pima Maji me situmii kabisaShunie.....
Hapa ntamwaga kuku kwenye mtama mwingi mambo yote Pima Maji