Kwanini wanaume wengi wana sura mbaya?

Kwanini wanaume wengi wana sura mbaya?

Enyiwanaume kwanini wenye sura mbaya mkowengi
Wanaume hawanaga sura mbaya ndio maana hawajirembi na Bado nyie mnaopenda vizuri mnawapenda lakini NYIE sasa sababu hamna sura nzuri muda wote mmejiremba na hamuwezi kutoka bila kujipodoa sababu mna sura MBAYA[emoji2] [emoji2] [emoji89]
 
Kuna mwaka exmwenza wangu aliniambia natamani nikubadilishe kichwa, una kichwa kibaya sana na pua zako kama unalia.

Nikamuangalia nikashindwa jibu maana muda huo kichwani majibu zaidi ya tisa yalikua yanazunguka kila moja linataka kutoka yakawa yanagongana tu huko ndani
Ungeharibu
 
Back
Top Bottom