Ndio inavyokuaga hivyoHahahahaa.. akimix na baba anatoka mzuri. Ila wanaume tunaoamini wabaya wakizaa na wadada wazuri huwa mtoto anakuaga mzuri sana. Ila wazuri kwa wazuri mtoto anakuaga kawaida tu.
Eeh kumbe kina sie tupite kuleeeMe nawapenda hao wanaume wa sura mbaya sura za kiume
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Kuna mwaka exmwenza wangu aliniambia natamani nikubadilishe kichwa, una kichwa kibaya sana na pua zako kama unalia.
Nikamuangalia nikashindwa jibu maana muda huo kichwani majibu zaidi ya tisa yalikua yanazunguka kila moja linataka kutoka yakawa yanagongana tu huko ndani
Yaan nyie mahandsome mnipite hiviiiiEeh kumbe kina sie tupite kuleee
Hili ndo neno hasaaaHalafu hamna mwanaume mbaya labda awe hana hela.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ungemfyatulia jibumojatuu mkuu hawanaadabusana hawa viumbe.Kuna mwaka exmwenza wangu aliniambia natamani nikubadilishe kichwa, una kichwa kibaya sana na pua zako kama unalia.
Nikamuangalia nikashindwa jibu maana muda huo kichwani majibu zaidi ya tisa yalikua yanazunguka kila moja linataka kutoka yakawa yanagongana tu huko ndani
Mbona unaandika kama unabinywa pumbu mkuu?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ungemfyatulia jibumojatuu mkuu hawanaadabusana hawa viumbe.
Me nawapenda hao wanaume wa sura mbaya sura za kiume
Khaaa, hata nikiwa na hela?!Yaan nyie mahandsome mnipite hiviiii
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125]Mbona unaandika kama unabinywa pumbu mkuu?
Me nawapenda hao wanaume wa sura mbaya sura za kiume
Dah....Enyiwanaume kwanini wenye sura mbaya mkowengi
Nilivyozaliwa ndivyo nilivyo mpk sasa hakuna nachoongeza mtoto wa watu labda bikira ndo sinayoKati ya MWANAUME na mwanamke nani Ana sura MBAYA? Jibu ni mwanamke Ndy Ana sura MBAYA.... umeshawahi kuona MAKE UP ZA KIUME? na KOPE ZA MACHO za kiume? Kama mnajiamini ni warembo MAKE UP na mawigi ya nn?
Kati ya MWANAUME na mwanamke nani Ana sura MBAYA? Jibu ni mwanamke Ndy Ana sura MBAYA.... umeshawahi kuona MAKE UP ZA KIUME? na KOPE ZA MACHO za kiume? Kama mnajiamini ni warembo MAKE UP na mawigi ya nn?
Dah....[emoji106]Me nawapenda hao wanaume wa sura mbaya sura za kiume
Nilikuona mahali wewe ni hensam boiNgoja nije pm tuongee m ninayo sura mbaya ya kiume daraja la kwanza A
[emoji23][emoji28][emoji23] hahahaKuna mwaka exmwenza wangu aliniambia natamani nikubadilishe kichwa, una kichwa kibaya sana na pua zako kama unalia.
Nikamuangalia nikashindwa jibu maana muda huo kichwani majibu zaidi ya tisa yalikua yanazunguka kila moja linataka kutoka yakawa yanagongana tu huko ndani