Kwanini wanaume wengi wana sura mbaya?

Kwanini wanaume wengi wana sura mbaya?

Hahahahaa.. akimix na baba anatoka mzuri. Ila wanaume tunaoamini wabaya wakizaa na wadada wazuri huwa mtoto anakuaga mzuri sana. Ila wazuri kwa wazuri mtoto anakuaga kawaida tu.
Ndio inavyokuaga hivyo
 
Kuna mwaka exmwenza wangu aliniambia natamani nikubadilishe kichwa, una kichwa kibaya sana na pua zako kama unalia.

Nikamuangalia nikashindwa jibu maana muda huo kichwani majibu zaidi ya tisa yalikua yanazunguka kila moja linataka kutoka yakawa yanagongana tu huko ndani
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Hata Baba yako nae mbaya, ila alipomuoa mama yako wakapata mtoto mzur ambae ni ww na leo unasema Baba yako na wanaume wenzake ni wabaya.
Boss wako anakulpa mshahara ila unasema ni mbaya wa sura, akikusikia utapambana na hal yako,
 
Kuna mwaka exmwenza wangu aliniambia natamani nikubadilishe kichwa, una kichwa kibaya sana na pua zako kama unalia.

Nikamuangalia nikashindwa jibu maana muda huo kichwani majibu zaidi ya tisa yalikua yanazunguka kila moja linataka kutoka yakawa yanagongana tu huko ndani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ungemfyatulia jibumojatuu mkuu hawanaadabusana hawa viumbe.
 
Ikumbukwe kuwa mwanamke aliumbwa mara mbili hawezi kufanana na mwanaume aliumbwa Adam kisha akatolewa ubavu ukaumbwa hawa
 
Me nawapenda hao wanaume wa sura mbaya sura za kiume
dfa878ecef3db83d8ec84f6706de85d6.jpg

Mwanaume pesa+mashine
 
Kati ya MWANAUME na mwanamke nani Ana sura MBAYA? Jibu ni mwanamke Ndy Ana sura MBAYA.... umeshawahi kuona MAKE UP ZA KIUME? na KOPE ZA MACHO za kiume? Kama mnajiamini ni warembo MAKE UP na mawigi ya nn?
Nilivyozaliwa ndivyo nilivyo mpk sasa hakuna nachoongeza mtoto wa watu labda bikira ndo sinayo
Nikitabasamu utaburudika na roho yako

Wanaume sura mbaya wanatia nyege hatari
 
Kati ya MWANAUME na mwanamke nani Ana sura MBAYA? Jibu ni mwanamke Ndy Ana sura MBAYA.... umeshawahi kuona MAKE UP ZA KIUME? na KOPE ZA MACHO za kiume? Kama mnajiamini ni warembo MAKE UP na mawigi ya nn?
bwabwa.jpg
huyu hapaa
 
Kuna mwaka exmwenza wangu aliniambia natamani nikubadilishe kichwa, una kichwa kibaya sana na pua zako kama unalia.

Nikamuangalia nikashindwa jibu maana muda huo kichwani majibu zaidi ya tisa yalikua yanazunguka kila moja linataka kutoka yakawa yanagongana tu huko ndani
[emoji23][emoji28][emoji23] hahaha
 
Back
Top Bottom