ShangaaaKwani sura ya mwanaume inaweka chakula mezani, kujenga nyumba au kutoa genye?
Pole kwa kifua kaka.Kooh koooh
Umewaona wanangu ni tuzuri km chotara wa kisomali baba yao sasa yeleuwiiiii mdogo wake wasiraHahahahaa.. akimix na baba anatoka mzuri. Ila wanaume tunaoamini wabaya wakizaa na wadada wazuri huwa mtoto anakuaga mzuri sana. Ila wazuri kwa wazuri mtoto anakuaga kawaida tu.
Sema wenye sura mbaya na pochi nzuri.Nilivyozaliwa ndivyo nilivyo mpk sasa hakuna nachoongeza mtoto wa watu labda bikira ndo sinayo
Nikitabasamu utaburudika na roho yako
Wanaume sura mbaya wanatia nyege hatari
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] najua humaanishi. Mimi sina uzuri wala ubaya nikimpenda nimempenda.Umewaona wanangu ni tuzuri km chotara wa kisomali baba yao sasa yeleuwiiiii mdogo wake wasira
Sura yangu sio mbayaEnyiwanaume kwanini wenye sura mbaya mkowengi
Nakwambia sura mbaya hunitoi shostiSema wenye sura mbaya na pochi nzuri.
Sura mbaya ndo zangu nakwambia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] najua humaanishi. Mimi sina uzuri wala ubaya nikimpenda nimempenda.
[emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419]Kati ya MWANAUME na mwanamke nani Ana sura MBAYA? Jibu ni mwanamke Ndy Ana sura MBAYA.... umeshawahi kuona MAKE UP ZA KIUME? na KOPE ZA MACHO za kiume? Kama mnajiamini ni warembo MAKE UP na mawigi ya nn?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dhiki tu. Tangu mtu unabalehe unakutana na matatizo lukuki, mara kukataliwa na dem, mara kukosa pesa, mara kazi nzito. So sura inakunjamanaaa. Huwezi amaini, ukiona picha yangu wakati niko form one, nilikuwa bonge la HB ila sasa hivi, hata nikishiriki mashindano ya sura mbaya na Remmy, mimi nachukua tuzo.
Hahahahahaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mwaka exmwenza wangu aliniambia natamani nikubadilishe kichwa, una kichwa kibaya sana na pua zako kama unalia.
Nikamuangalia nikashindwa jibu maana muda huo kichwani majibu zaidi ya tisa yalikua yanazunguka kila moja linataka kutoka yakawa yanagongana tu huko ndani
Mi sikumbuki kudate wenye sura za ancestors wao. Ila muonekano mzuri pesa na akili ndo nafanikiwaga kudanganyana nao. Unaweza kuwa na sura ya Wasirra ila swagga za Jk lazima mwanamke akupende tu.Sura mbaya ndo zangu nakwambia
Sura ya Wasira, swaga za JK.[emoji15] [emoji15] [emoji15]Mi sikumbuki kudate wenye sura za ancestors wao. Ila muonekano mzuri pesa na akili ndo nafanikiwaga kudanganyana nao. Unaweza kuwa na sura ya Wasirra ila swagga za Jk lazima mwanamke akupende tu.
[emoji137] [emoji137] [emoji137] [emoji137] [emoji137] [emoji137]Sura mbaya ndo zangu nakwambia
HahaahaaaKwa wanyama wote wanaume ndio wazuri. Kasoro Binadamu pekee. Ukiangalia kuku jogoo ni mzuri, mbuzi beberu ni mzuri, njiwa n.k vivyo hivyo kasoro binadamu tu
Kuna mwaka exmwenza wangu aliniambia natamani nikubadilishe kichwa, una kichwa kibaya sana na pua zako kama unalia.
Nikamuangalia nikashindwa jibu maana muda huo kichwani majibu zaidi ya tisa yalikua yanazunguka kila moja linataka kutoka yakawa yanagongana tu huko ndani
Kigezo nambari wani tu mi iz sura ya kiume maana hata nyee hushuka kwa speed Kali kina cute boy hawanisisimui kabisaaa km yule wa mama Sabrina yani ngoma hainyevuki hata kidogoMi sikumbuki kudate wenye sura za ancestors wao. Ila muonekano mzuri pesa na akili ndo nafanikiwaga kudanganyana nao. Unaweza kuwa na sura ya Wasirra ila swagga za Jk lazima mwanamke akupende tu.
Dhiki tu. Tangu mtu unabalehe unakutana na matatizo lukuki, mara kukataliwa na dem, mara kukosa pesa, mara kazi nzito. So sura inakunjamanaaa. Huwezi amaini, ukiona picha yangu wakati niko form one, nilikuwa bonge la HB ila sasa hivi, hata nikishiriki mashindano ya sura mbaya na Remmy, mimi nachukua tuzo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umewaona wanangu ni tuzuri km chotara wa kisomali baba yao sasa yeleuwiiiii mdogo wake wasira
Ww dada noma sanaRaha ya mwanaume akupende bwana, hata awe na pua kama mouse