Kwanini wanaume wengi wana sura mbaya?

Kwanini wanaume wengi wana sura mbaya?

Umewaona wanangu ni tuzuri km chotara wa kisomali baba yao sasa yeleuwiiiii mdogo wake wasira
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] najua humaanishi. Mimi sina uzuri wala ubaya nikimpenda nimempenda.
 
Kati ya MWANAUME na mwanamke nani Ana sura MBAYA? Jibu ni mwanamke Ndy Ana sura MBAYA.... umeshawahi kuona MAKE UP ZA KIUME? na KOPE ZA MACHO za kiume? Kama mnajiamini ni warembo MAKE UP na mawigi ya nn?
[emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419]
Nakazia
 
Dhiki tu. Tangu mtu unabalehe unakutana na matatizo lukuki, mara kukataliwa na dem, mara kukosa pesa, mara kazi nzito. So sura inakunjamanaaa. Huwezi amaini, ukiona picha yangu wakati niko form one, nilikuwa bonge la HB ila sasa hivi, hata nikishiriki mashindano ya sura mbaya na Remmy, mimi nachukua tuzo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuna mwaka exmwenza wangu aliniambia natamani nikubadilishe kichwa, una kichwa kibaya sana na pua zako kama unalia.

Nikamuangalia nikashindwa jibu maana muda huo kichwani majibu zaidi ya tisa yalikua yanazunguka kila moja linataka kutoka yakawa yanagongana tu huko ndani
Hahahahahaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna mwaka exmwenza wangu aliniambia natamani nikubadilishe kichwa, una kichwa kibaya sana na pua zako kama unalia.

Nikamuangalia nikashindwa jibu maana muda huo kichwani majibu zaidi ya tisa yalikua yanazunguka kila moja linataka kutoka yakawa yanagongana tu huko ndani
 
Mi sikumbuki kudate wenye sura za ancestors wao. Ila muonekano mzuri pesa na akili ndo nafanikiwaga kudanganyana nao. Unaweza kuwa na sura ya Wasirra ila swagga za Jk lazima mwanamke akupende tu.
Kigezo nambari wani tu mi iz sura ya kiume maana hata nyee hushuka kwa speed Kali kina cute boy hawanisisimui kabisaaa km yule wa mama Sabrina yani ngoma hainyevuki hata kidogo
 
Dhiki tu. Tangu mtu unabalehe unakutana na matatizo lukuki, mara kukataliwa na dem, mara kukosa pesa, mara kazi nzito. So sura inakunjamanaaa. Huwezi amaini, ukiona picha yangu wakati niko form one, nilikuwa bonge la HB ila sasa hivi, hata nikishiriki mashindano ya sura mbaya na Remmy, mimi nachukua tuzo.
 
Umewaona wanangu ni tuzuri km chotara wa kisomali baba yao sasa yeleuwiiiii mdogo wake wasira
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom