Kwanini wanaume wengi wana sura mbaya?

Kigezo nambari wani tu mi iz sura ya kiume maana hata nyee hushuka kwa speed Kali kina cute boy hawanisisimui kabisaaa km yule wa mama Sabrina yani ngoma hainyevuki hata kidogo
Mwenyewe napenda sura ya kiume hata akiwa handsome ila kukiwa na ile uanaume nadata. Yule mimi kwa kweli namuona mzuri tu ila hawezi nivutia hata kidogo. Yani mimi yule mwanaume ambae ni mzuri kila mtu anamuona mzuri hawezi kunidatisha.
 
Tupo kwenye mstari mmoja basi
Mi sijui mwanaume anapenda selfie mara akipiga picha kabinua midomo jamani hata kama nilikua namtamani naishia hapo hapo. Au mara kapaka lipshine inetokelezea. Akipiga picha anarembua ili aonyeshe watu uhandsome wake mfyuu. Ndo maana napendaga hata wanaume wenye kazi ngumu kama footballers, wanajeshi. Japo sijawahi kudate mwanajeshi ila nawaelewa sana.
 
Kuna sehemu sky kasema raha ya dume akupende hata pua yake ikiwa km mouse na mimi niko hivyo wanaume sura mbaya na awe na kibamia chake makini heheheheheeeee [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Sura ya Wasira, swaga za JK.[emoji15] [emoji15] [emoji15]
kuwaelewa hawa watu uwe na IQ za wanawake wote duniani uzijumlishe ndo utaelewa [emoji23][emoji28][emoji23]
usishangae chief we kubali tu hahaha
 
Mwenyewe napenda sura ya kiume hata akiwa handsome ila kukiwa na ile uanaume nadata. Yule mimi kwa kweli namuona mzuri tu ila hawezi nivutia hata kidogo. Yani mimi yule mwanaume ambae ni mzuri kila mtu anamuona mzuri hawezi kunidatisha.
aiseee
 
kuwaelewa hawa watu uwe na IQ za wanawake wote duniani uzijumlishe ndo utaelewa [emoji23][emoji28][emoji23]
usishangae chief we kubali tu hahaha
Mimi mwanaume suruali wala sina shida, nawachora tu hapa.

Ngoja nimwagilie bamia zangu hapa ziweze kumea vizuri[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kati ya MWANAUME na mwanamke nani Ana sura MBAYA? Jibu ni mwanamke Ndy Ana sura MBAYA.... umeshawahi kuona MAKE UP ZA KIUME? na KOPE ZA MACHO za kiume? Kama mnajiamini ni warembo MAKE UP na mawigi ya nn?
Uwiiiii umejua kutukomesha mwanawane hahahah
 
WANAWAKE Kama kweli nyie ni warembo zaidi ya wanaume na nyie MNYOWE VIPARA KAMA SISI WANAUME... Kama watoto wenu hawajakimbia huko majumbani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…