Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Mwenyewe napenda sura ya kiume hata akiwa handsome ila kukiwa na ile uanaume nadata. Yule mimi kwa kweli namuona mzuri tu ila hawezi nivutia hata kidogo. Yani mimi yule mwanaume ambae ni mzuri kila mtu anamuona mzuri hawezi kunidatisha.Kigezo nambari wani tu mi iz sura ya kiume maana hata nyee hushuka kwa speed Kali kina cute boy hawanisisimui kabisaaa km yule wa mama Sabrina yani ngoma hainyevuki hata kidogo