Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,548
- 63,038
Kwani ulinipendea nini? Kama sio sura ngumu?Inaanzaje kuwa ngumu mume
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ulinipendea nini? Kama sio sura ngumu?Inaanzaje kuwa ngumu mume
Upendo tuu..sura ni ziada sanaKwani ulinipendea nini? Kama sio sura ngumu?
Hahaaa wee kumbe wapenda mariooKwakweli hela zako baki nazo tu na uzuri wako
Wewe sifia tuu manyaku nyaku waje pm..Upendo tuu..sura ni ziada sana
KufuruEnyiwanaume kwanini wenye sura mbaya mkowengi
kwa7bu tupo wengiEnyiwanaume kwanini wenye sura mbaya mkowengi
a like kwanzaMe nawapenda hao wanaume wa sura mbaya sura za kiume
Marioo sitaki hata kumsikia naanzaje kufuga binadamuHahaaa wee kumbe wapenda marioo
Kumbe ni mmasaiHandsome wangu wa kimasai...
Take easy [emoji41][emoji41]Kumbe ni mmasai
Kile kigozi na we unachoTake easy [emoji41][emoji41]
Kile cha kutekenya nani liuuu eeh?Kile kigozi na we unacho
EwaaaaaKile cha kutekenya nani liuuu eeh?
Enyiwanaume kwanini wenye sura mbaya mkowengi
Kile kipo chini ya kichwa..[emoji41][emoji41]Ewaaaaa
Hiko hiko kama unacho nitamuomba Dada nije nae kukuchungulia nasikiaga sifa zake halaf sijawahi kukutana nacho