Kwanini wanaume wenye VVU huongea kwa sauti ya juu kuliko kawaida?

Kwanini wanaume wenye VVU huongea kwa sauti ya juu kuliko kawaida?

MWANDENDEULE

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2015
Posts
4,099
Reaction score
7,466
Wengi wao utakuta wanaongea kwa sauti ya juu sana kuliko kawaida, anakuongelesha kwa sauti ya juu kana kwamba uko mita 25 toka alipo; nini tatizo au chanzo chake?
 
Wewe umejuaje kama wanao ongea sauti ya juu sana wana VVU?
 
Mhhh!! Una uhakika au umefanya research kweli?
 
Fanye tafiti kwanza hata kwa miaka 5 ndio uje na hoja hiyo nzito sana
 
Kuna mzee mmoja hakuwa kicheche lakini mke wake alikuwa mgawaji hatari, mke alikufa kwa ukimwi, na mzee aliambukizwa na mkewe. Sasa kipindi nimepanga kwake, alikuwa ni mtu wa kufokea watoto kwa sauti ya juu sana, na ilikuwa kila siku, hata kama hawajakosea, na hata akiwa anawatuma vitu, au anawaita, hata wakiwa karibu ilikuwa ni kwa sauti ya juu. Yeye ndiye alinisimulia kuwa kaambukizwa virusi na mkewe, lakini maisha ya kabla mkewe hajafariki siyajui (yaani kama alikuwa anapayuka au la). Ningekuwa nilimuona kabla mkewe hajafariki kwa ngoma, ningesema hiyo ni kweli au la. Naishia hapo.
 
Back
Top Bottom