Kwanini wanawake (good girl/girl in their prime) huwa wanaangukia kwa bad guy

Kwanini wanawake (good girl/girl in their prime) huwa wanaangukia kwa bad guy

R_Breazy

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2025
Posts
391
Reaction score
746
Habari wakuu
Hatimaye nimechagua kwenda kwa mzazi mwenzangu baada ya kutuma nauli 😁😁(Nlitakiwa kwenda tangu tar 23/nimetafuta sababu hadi imeishiwa zaidi ya kwenda) niliwaza kuila ila nikaona acha nichomoke kwa msela wangu.
Maamuzi yangu yamechagizwa pia na penzi jipya japo ni la muda mrefu na binti fulani wa kusali sana (MSABATO) Itoshe kusema ashanieleza kitambo ni bikra na bado amesema japo sina udhibitisho hadi sasa kubwa ni bikira ila kesho mpaka saa 10 mtawapa mrejesho kama ni kweli au ndiyo nilikuwa napangwa. Napitiliza tu kituo then after match nageuka destination point haizidi 10k.🌝
Anavyojimaliza ni naitikia tu ilaaa lengo ni hiyo bikra yake japo ni wife material haswa ila muhuni aliechagua kumtunuku ndo hivyo sifai hata kidogo and nimefanikiwa kutoa bikira kijinga jinga sana, niliemwelewa ni huyu tu niliyezaa naye wengine hata siwakumbuki sababu sikuwafaidi but sielewi wanawake wanachozingatia au kuangalia kuhusu nani wampe usichana wao(Standard)
ANYWAY, sielewi kwanini siku zote girl almost huwa wanaanguka kwenye mikono isiyo salama japo siyo wote. Nature hapa inafanyaje kazi😌

#SOMENI ILA MSINYANYUE MABEGA#😂
 
Kama ulivyo sema kuanzia kwenye muda : kifupi tunakuwa hatueleweki mbele yao..
I feel sorry for her but no way 😀
Then ukute kuna mwamba kuhangaika na anahangaika daily ilaaa hii jinsia😂😂🙌
 
Back
Top Bottom