Yaani....! Kuna wakati bajeti yetu kwa mwezi ilikuwa lita5, siku moja nikaamua kupelekea ndoo ya lita10 mwezi mmoja ikakata 🤣Mafuta ya mboga ndo yananiachaga hoi aise sijui anatumiaje itabidi siku moja nijaribu kupika mimi maana nikiuliza naambiwa hivyo
Thanks nimepata idea. Ngoja nianze kuwaonyesha mfanoAise ugali ukiupasha kwenye microwave unarudia upya wake....basi yeye kazoea maisha mteremko..... Hawa ndo wale umetetereka kidogo anakukimbia kutafuta wa kuendana nae kwa kipindi hicho
Wanawake huamini kua mwanaume ana hela.Mkuu tunaoumia ni wengi lakini nadhani tumeumbwa tofauti ndio maana kuna mtu kama huyu 🙉
Hapo safi...uchungu lazima aupate. Kipindi cha mwanzo wa biashara asitoe matumizi kabisa mpaka biashara isimame...isije kufa yakasingiziwa mahitaji ya nyumbaniHili nalo la msingi sana na nipo kwenye hatua za mwisho. Mke wangu ni mama wa nyumbani lakini tumekubaliana nimfungulie biashara, nataka asimamie kila kitu; kulipa Kodi, kununua mzigo n.k alafu mwisho wa siku tukae mezani kuona maendeleo ya biashara
Duh! Kweli hawa wake ni mashetani kabisa.Yaani....! Kuna wakati bajeti yetu kwa mwezi ilikuwa lita5, siku moja nikaamua kupelekea ndoo ya lita10 mwezi mmoja ikakata 🤣
Sasa sii utumwa tena huu jamaniKama una stoo hifadhi chakula humo funga na funguo, uwe unampimia kila siku asubuhi.
Michele nusu
Mafuta robo kikombe
Chumvi kijiko kimoja..n.k
Baba mwenye nyumba kumpimia mama chakula haileti picha nzuri.... Huyo mwanamke akijui hela zinavyo patikana mbona atapata adabu tu....Kama una stoo hifadhi chakula humo funga na funguo, uwe unampimia kila siku asubuhi.
Michele nusu
Mafuta robo kikombe
Chumvi kijiko kimoja..n.k
Kabisa yaani wao wajua zipo tuuWanawake huamini kua mwanaume ana hela.
😭😭😭😭😭namchukia MTU wa namna hii acha tu.....laiti wangejua huko nje watu wanavyotaabika na njaa....yaan daaa.. ..namchukia sana MTU anaetupa chakula aiseeKUTUPA CHAKULA!!! 😭
Huyo ana tabia ya ufujaji sugu...usikute hata anagawa kwa kujiona yupo pazuri..na bora angegawa kwa wenye uhitaji zaidi.Pole mkuu, ongea kwa vitendo, pangeni bajeti ya mwezi ama nusu mwezi then mkabidhi pesa za jikoni, wewe usinunue kitu muachie hilo jukumu yeye. Matokeo utayaona kwa uharaka zaidi
Kununua vyakula kwa kilo kilo ni gharama zaidi kuliko jumla haswa msimu huu.Cha msingi weka hela uwe unanunua kilo kilo daily wanawake hawajali kabisa,Ila wanawake wa kipare na baadhi ya wachaga,Ni wazuri kwenye bajet
TrueKununua vyakula kwa kilo kilo ni gharama zaidi kuliko jumla haswa msimu huu.
Daah kutokana na maelezo yako hayo,ebu fanya uchunguzi WA kiaina huenda mkeo anagawa baadhi ya vitu Kwa jirani au nduguzeYaani....! Kuna wakati bajeti yetu kwa mwezi ilikuwa lita5, siku moja nikaamua kupelekea ndoo ya lita10 mwezi mmoja ikakata 🤣