Kwanini wanawake hamna huruma?

Saingine uharibifu unakuwa kwa ajili mtu hajui uchungu wa hela inapatikanaje ila siku ukiachiwa shughuli uiendeshe hata kwa mwezi tu ndio utajua hujui.
Housewives wengi hawana tofauti na house girls, samahani nimeongea hivyo. Kama unamjua house girl, yeye anajua vitaletwa tu tena vingi, gesi inaisha ndani ya mda mfupi kisa akipika yupo busy na TV au simu, mkaa unaisha fasta coz akimaliza kupika hazimi, chakula ndio usiseme.

Housewives wengi hawajui uchungu na ugumu wa kutafuta, hawana tofauti na house maids.
 
M Muulize wewe ukiwa na.kwako.utafanya haya unayofanya?
 
Uishi Maisha marefu madam
 
Kwa ufupi ndugu yangu, ukikaa ikafikia kwa kina msamiati wa ndoa au kuoa ni mgumu sana kiasi unaweza ukatamani siku zirudi nyuma ubadilishe
 
Ukitaka mwanamke aheshimu bajeti ya chakula mpe huru wakupanga bajeti kwa nunua yeye mwenyewe sokoni namaanisha mpe hela ya matumizi kila mwezi apambane na hali yake
Huyu unaambiwa vikiongezeka ndo anatumia kwa spidi zaidi...mafuta lita 5 alikuwa akitumia kwa mwenzi, siku alivyo letewa lita kumi yakakata mwenzi tu!!!... Sasa kumpa hela huyu ataenda kununua cha siku moja hela zingine atajua cha kusema..... Kikubwa huyu ajue hela zinavyo patikana kwa shida ndo akili zitamkaa vizuri
 
Kizazi cha dotcom

Kwa hiyo ukilalamika ndo ushatatua tatizo?

Shida ni nyie mnaojifaragua kuingia gharama juu ya uwezo wako.

Lazima ikuume.
Unamzuia asiongee bando umenunulia wewe?acha atiririke,jukwaa huru hili
 
Siku zote misemo yangu
" ukitaka kufa maskini basi kaishi na maskini"
kuna vijana niliwaleta nyumbani waje tusaidiane na walipotoka familia zao wanashindia muogo walio lima yani nyama na wali wanasikia kwenye redio.ila leo wanampangia dada wakazi eti hawataki maharage sio chakula chao ni nyama wanazotaka.
 
Unamzuia asiongee bando umenunulia wewe?acha atiririke,jukwaa huru hili
Hehehe nilijua mtafikia hapa.

Bando la kwake.
Device ya kwake
Akili ya kwake
Maoni yake.

Sisi haswaa mimi siyo shuzi lake. Maana hanilipi kwa kumjibu kwenye utopolo wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…