mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 23,965
- 131,949
Looooh kukomoana tena[emoji3],Maharage watu wanachemsha kwenye gesi wakati mkaa upo. Mtu anaona uvivu kuanza kuwasha mkaa
Sema tena mwanaume ukiongea utaambiwa unagubu lkn hawajui tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Looooh kukomoana tena[emoji3],Maharage watu wanachemsha kwenye gesi wakati mkaa upo. Mtu anaona uvivu kuanza kuwasha mkaa
Housewives wengi hawana tofauti na house girls, samahani nimeongea hivyo. Kama unamjua house girl, yeye anajua vitaletwa tu tena vingi, gesi inaisha ndani ya mda mfupi kisa akipika yupo busy na TV au simu, mkaa unaisha fasta coz akimaliza kupika hazimi, chakula ndio usiseme.Saingine uharibifu unakuwa kwa ajili mtu hajui uchungu wa hela inapatikanaje ila siku ukiachiwa shughuli uiendeshe hata kwa mwezi tu ndio utajua hujui.
Muulize wewe ukiwa na.kwako.utafanya haya unayofanya?Housewives wengi hawana tofauti na house girls, samahani nimeongea hivyo. Kama unamjua house girl, yeye anajua vitaletwa tu tena vingi, gesi inaisha ndani ya mda mfupi kisa akipika yupo busy na TV au simu, mkaa unaisha fasta coz akimaliza kupika hazimi, chakula ndio usiseme.
Housewives wengi hawajui uchungu na ugumu wa kutafuta, hawana tofauti na house maids.
Uishi Maisha marefu madamEnzi za ukuaji Nilikuwa napika chakula kingi mama anaongea sana kwa uchungu,
Nikiona nimepika kingi na mama asikione napunguza kwa kumwaga,
Nilikuwa sizimi taa zinawaka kutwa au baba azime anavyotoka,,,,nipo nje Tv ipo on na hakuna anaeangalia,,,,,,,,,,,lkn sasa tokea baba atoweke na nikajua kununua umeme[emoji16][emoji16]
Lkn sasa kila kitu napika kwa kipimo na nikijua ni kingi namfuata jirani aje agawe kabwa hakijatushinda, na bora kiwe kidogo asiyeshiba ashushie na maji,
Sasa nilivyojua uchungu wa pesa aisee nakuwa mkali hasa kwenye uharibifu wa chakula,,,,,,,,,,,home tupo watatu juzi nimesonga ugali usiku na mboga tamu ugali ulikuwa kidogo tu maana nilijua ugali usiku haupandi,,,,,,tulikula na ukawa mdogo maza akawaka kwanini napika ugali kama unga wa kununua[emoji23][emoji23]
"TUHESHIMUNIi VYAKULA"
"maana kuna wale waliokulia vijijini wanajua kuwa kupika wali mwingi na kuumwaga ndiyo kayapatia maisha,"
SIPENDI MTU ANAEMWAGA/KUCHEZEA CHAKULA, KUNA WATU WATU MITAANI WANATESEKA NA NJAA,
Wanakunyima mbususu alagu na matumizi ni ya kukomoana...sasa sii majanga haya jamaniMmmmh
[emoji1545][emoji1545]Uishi Maisha marefu madam
Inasikitisha.Wanakunyima mbususu alagu na matumizi ni ya kukomoana...sasa sii majanga haya jamani
Sana...ndio maana sometimes watu wanatafuta vipozeo. Ni majanga tuuInasikitisha.
Sio ushamba jamaa yupo sahihiKulalamikia vitu kama hivi ni ushamba
Kizazi cha dotcomSio ushamba jamaa yupo sahihi
Hii kitu acha tu,Kama haujui uchungu unaona simple tuNilikua na hii tabia zaman, nilipoanza kukaa mwenyewe akili ilinikaa sawa.
[emoji16][emoji16]Sana...ndio maana sometimes watu wanatafuta vipozeo. Ni majanga tuu
Kwa ufupi ndugu yangu, ukikaa ikafikia kwa kina msamiati wa ndoa au kuoa ni mgumu sana kiasi unaweza ukatamani siku zirudi nyuma ubadilisheUlishawahi kutoka na mwanamke wa mjini sister du fulani out? Akiletewa menu anaagiza nusu kuku na chips alafu anakula kiupaja kimoja na vichips kadhaa anajifuta na tishu kwa mikogo vingereza vingi alafu anakwambia ameshiba! [emoji848]
Wanaume tumeumbwa mateso hadi kwenye ndoa yanatukuta haya. Leo naongelea wanawake walioolewa au wanaoshi na wanaume kama familia, kwanini wengi wao wana tabia hii? KUTUPA CHAKULA!!! [emoji24]
Nikijitolea mfano mimi binafsi nimetoka familia masikini, Mungu kanijaalia nna kipato cha kubadilisha mboga kwa sasa. Kwakuwa chanzo kikuu cha mapato ni mshahara basi huamua kununua vyakula vya jumla kila mwisho wa mwezi mf. mchele,unga, mboga kama maharage, dagaa, samaki, nyama ya ng'ombe, kuku n.k yani kiufupi mwisho wa mwezi friji inakuwa top kwa mazagazaga na huwa tunapanga kabisa na mke wangu anunue vitu kiasi gani lakini matumizi ya vitu hivi yanakuwa ya hovyo sana hadi kupelekea kitu fulani kuisha mapema kabla ya muda mliojiwekea. Na hata ukimuuliza kuhusu pesa ya matumizi uliyompa tofauti na ya manunuzi ya vitu hivyo utaambulia patupu.
Kuna jambo wanawake hawawezi kubajeti kabisa hasa kipimo cha chakula. Unakuta mchana wanapika ugali mkubwa hadi jioni unatoka kazini unakuta hotpot limejaa ugali na mboga kibao zimebaki wote wameshakula na mimi huwa sili nyumbani mchana siku za kazi. Usiku pia wanapika wali kibao unabaki, asubuhi hauliwi wote sababu kuna mkate au mwanamke kajisikia kupika tambi au chapati, mchana unakuta sufuria limelowekwa na mpunga kibao mwisho wa siku wanapewa kuku wale....
Nimeongea kwa ujumla wanawake maana hiki ni kilio cha wanaume wengi tunaofatilia mambo ya jikoni. Siwafichi mimi huwa nafatilia mambo ya jikoni.
Nna rafiki zangu wengi, ndugu zangu na jamaa wanaoishi maisha ya shida sana, mfano jana nilipigiwa simu na rafiki yangu ananiambia hadi muda huo (saa 2 usiku) hajajua watoto watakula nini akaniomba nimsaidie kumtumia buku mbili tu japo anunue mkate. Si kwamba napesa nyingi lakini najua uhalisia wa anachoniambia sababu haya maisha nimeyaishi nilipambana nikamtumia hela ya kula siku hiyo.
Nikirudi kwa mke wangu mimi hajali kabisa unaweza kushangaa baada ya siku 15 tu anakwambia mchele karibia unaisha, namuuliza mmetumia mchele kilo 30 kwa siku 15?! Jibu lake rahisi anajibu 'unadhani mimi naumwaga, si watoto wako wanakula!' Mwanamke mwenyewe katoka familia hizi hizi kama zetu sijui kwanini hana uchungu!
Lakini si wote kuna wanawake wanajua kubajet aiseee... Kama shemeji yangu mama Alice nakumbuka wakati huo tunaishi nae nyumba moja na mume wake(rafiki yangu). Huyu mwanamke hatumii kwasababu vipo tu, nisiseme mengi.
Kama kusema nilishasema sana sasa hivi naumia tu maana ukizidi kuongea hawachelewi, utasikia "We mwanaume una gubu kweli, mambo ya jikoni yana kuhusu nini?"
Ah! Basi bana, namwachia Mungu [emoji22]
Huyu unaambiwa vikiongezeka ndo anatumia kwa spidi zaidi...mafuta lita 5 alikuwa akitumia kwa mwenzi, siku alivyo letewa lita kumi yakakata mwenzi tu!!!... Sasa kumpa hela huyu ataenda kununua cha siku moja hela zingine atajua cha kusema..... Kikubwa huyu ajue hela zinavyo patikana kwa shida ndo akili zitamkaa vizuriUkitaka mwanamke aheshimu bajeti ya chakula mpe huru wakupanga bajeti kwa nunua yeye mwenyewe sokoni namaanisha mpe hela ya matumizi kila mwezi apambane na hali yake
Unamzuia asiongee bando umenunulia wewe?acha atiririke,jukwaa huru hiliKizazi cha dotcom
Kwa hiyo ukilalamika ndo ushatatua tatizo?
Shida ni nyie mnaojifaragua kuingia gharama juu ya uwezo wako.
Lazima ikuume.
Hehehe nilijua mtafikia hapa.Unamzuia asiongee bando umenunulia wewe?acha atiririke,jukwaa huru hili