Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Atakulaghai ule 🤣🙌Utaweza kuacha au gelesha tu hili unishawishi nikule[emoji16][emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakulaghai ule 🤣🙌Utaweza kuacha au gelesha tu hili unishawishi nikule[emoji16][emoji16]
Halafu ajisifie[emoji16][emoji16][emoji16]Atakulaghai ule [emoji1787][emoji119]
Kuna wanawake wafujaji na wanaopenda sifa yani Vimnwaga. Ukimjazia mavitu ndani anaanza kugawa gawa kwa majirani ili aonekane zimo.Daah kutokana na maelezo yako hayo,ebu fanya uchunguzi WA kiaina huenda mkeo anagawa baadhi ya vitu Kwa jirani au nduguze
Haingii akilini bajet ya mafuta Lita 5 halafu ulivyoleta Lita 10 zote zikaisha,that means ukileta Lita 15 nazo zinaisha hahahah
Nasema hayo kwakuwa Nina uzoefu na Bibi yangu mzaa Baba, yeye bwana analetewa mazagazaga yote lkn bwana huwa anagawa chakula ovyo ovyo Tu
Sasa wengine hufanya hivyo kuonyesha yeye mambo Safi au huruma iliyopitiliza ambayo ina kukosti wewe.
Naomba hili nalo usili dharau,huenda chakula kinaenda Kwa shoga yake au jirani zake
👇Kulalamikia vitu kama hivi ni ushamba
[emoji3][emoji3][emoji3]Atakulaghai ule [emoji1787][emoji119]
endelea kufundisha tu mpaka kitaelewekaKweli mkuu inabidi nisikate tamaa kwenye hili, tunapata hela kwa shida sana. Shukrani kwa ushauri huu
Natamani niamke nikqmpigie picha kipimo cha mchele cha kumtoshea mtu1, ili akamuonyeshe my wife wake😂Inabidi apewe somo,haiwezekani mtu anamwaga vyakula hovyo.
Saingine uharibifu unakuwa kwa ajili mtu hajui uchungu wa hela inapatikanaje ila siku ukiachiwa shughuli uiendeshe hata kwa mwezi tu ndio utajua hujui.Enzi za ukuaji Nilikuwa napika chakula kingi mama anaongea sana kwa uchungu,
Nikiona nimepika kingi na mama asikione napunguza kwa kumwaga,
Nilikuwa sizimi taa zinawaka kutwa au baba azime anavyotoka,,,,nipo nje Tv ipo on na hakuna anaeangalia,,,,,,,,,,,lkn sasa tokea baba atoweke na nikajua kununua umeme[emoji16][emoji16]
Lkn sasa kila kitu napika kwa kipimo na nikijua ni kingi namfuata jirani aje agawe kabwa hakijatushinda, na bora kiwe kidogo asiyeshiba ashushie na maji,
Sasa nilivyojua uchungu wa pesa aisee nakuwa mkali hasa kwenye uharibifu wa chakula,,,,,,,,,,,home tupo watatu juzi nimesonga ugali usiku na mboga tamu ugali ulikuwa kidogo tu maana nilijua ugali usiku haupandi,,,,,,tulikula na ukawa mdogo maza akawaka kwanini napika ugali kama unga wa kununua[emoji23][emoji23]
"TUHESHIMUNIi VYAKULA"
"maana kuna wale waliokulia vijijini wanajua kuwa kupika wali mwingi na kuumwaga ndiyo kayapatia maisha,"
SIPENDI MTU ANAEMWAGA/KUCHEZEA CHAKULA, KUNA WATU WATU MITAANI WANATESEKA NA NJAA,
Ni utetezi tu👇
"Sidhani kama ni sawa kuandaa chakuala kingi, iwe mchana au jioni, kisha kinatumika kidogo, na kinachobakia kinatupwa,"
Je kwanini chakula kisiandaliwe kwa kiasi kulingana na uhitaji??
Je kwanini chakuala kitupwe?
Mleta mada ana hoja, ni baadhi ya wanawake/ wamama hawako makini na hawajui kufanya bajeti ya chakula kulingana na idadi yao au uhitaji wao.
Ukweli ni kwamba mtu yoyote ambae hatafuti hela kwa jasho, hua hajui kupanga matumizi.Enzi za ukuaji Nilikuwa napika chakula kingi mama anaongea sana kwa uchungu,
Nikiona nimepika kingi na mama asikione napunguza kwa kumwaga,
Nilikuwa sizimi taa zinawaka kutwa au baba azime anavyotoka,,,,nipo nje Tv ipo on na hakuna anaeangalia,,,,,,,,,,,lkn sasa tokea baba atoweke na nikajua kununua umeme[emoji16][emoji16]
Lkn sasa kila kitu napika kwa kipimo na nikijua ni kingi namfuata jirani aje agawe kabwa hakijatushinda, na bora kiwe kidogo asiyeshiba ashushie na maji,
Sasa nilivyojua uchungu wa pesa aisee nakuwa mkali hasa kwenye uharibifu wa chakula,,,,,,,,,,,home tupo watatu juzi nimesonga ugali usiku na mboga tamu ugali ulikuwa kidogo tu maana nilijua ugali usiku haupandi,,,,,,tulikula na ukawa mdogo maza akawaka kwanini napika ugali kama unga wa kununua[emoji23][emoji23]
"TUHESHIMUNIi VYAKULA"
"maana kuna wale waliokulia vijijini wanajua kuwa kupika wali mwingi na kuumwaga ndiyo kayapatia maisha,"
SIPENDI MTU ANAEMWAGA/KUCHEZEA CHAKULA, KUNA WATU WATU MITAANI WANATESEKA NA NJAA,
Hajui tu,mchele robo ni chakula cha watu wanna[emoji16]Natamani niamke nikqmpigie picha kipimo cha mchele cha kumtoshea mtu1, ili akamuonyeshe my wife wake[emoji23]
Ndiyo,Saingine uharibifu unakuwa kwa ajili mtu hajui uchungu wa hela inapatikanaje ila siku ukiachiwa shughuli uiendeshe hata kwa mwezi tu ndio utajua hujui.
Usiniambie..!Hajui tu,mchele robo ni chakula cha watu wanne[emoji16]
Kwakweli inauma si kidogo,Ukweli ni kwamba mtu yoyote ambae hatafuti hela kwa jasho, hua hajui kupanga matumizi.
Wasichana wa kazi na hawa wadogo zetu tunaoishi nao jamani sijui hua wanadhani sisi ni matajiri sana? Mtu atabandika MAJI YA KUOGA (na joto lote) kwenye jiko la GESI! Halafu anayasahau hapo yeye yuko chumbani na simu. Maji yatachemka wee mpaka yanakaukia we unapita unakuta maji yamebaki nusu, yeye hana habari, akikurupuka anajazia sufuria anaendelea kuchemsha! Au mwingine anachemsha maji, yakichemka anazima jiko anaenda kufanya shughuli nyingine. Akija anawasha tena jiko anayachemsha upya ndio akaoge!
TV ni masaa 24 ipo on, kuwe kuna mtu anaangalia au laa. Taa zote ni on hakuna anaezima.
Yaani kuna vitu vinakera sana mtu unaongea mpaka unachoka
Maharage watu wanachemsha kwenye gesi wakati mkaa upo. Mtu anaona uvivu kuanza kuwasha mkaaKwakweli inauma si kidogo,
Home kuna jiko la kuni,mkaa,gesi na mafuta,
Maji ya kuoga kwenye jiko la kuni huko, na kupikia huko hasa mchana
Ndiyo hivyo[emoji23]Usiniambie..!