Kwanini wanawake huvutiwa na wanawake wenye magari?

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
Wadada wengi huwashobokea kina kaka au wababa wenye magari.Ni kwanini?
 
Hawataki shida za usafiri wa umma, bajaj na pikipiki
 
Kwasababu jua kali hakuna anayependa kukaangwa na jua kutwa nzima
 
Ni swali mana kuna alama ya kuuliza
 
Wanawake wengi wanapenda udereva ila hawako tayari kuendesha UDA
 
Kuuliza si ujinga,mi naonaga shobo zao,kina Dada wana majibu zaidi
 
Wanaamini kila mwenye gari atakuwa na pesa pia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…