Kwanini wanawake huvutiwa na wanawake wenye magari?

Wadada wengi huwashobokea kina kaka au wababa wenye magari.Ni kwanini?
ANGALIA KICHWA CHA HABARI LABDA UNGESEMA HIVI ;
Kwanini wanawake huvutiwa na wanaume wenye magari?
 
Ukiwa na gari inamaana una hela wanawake wanataka hela sio gari
 
MKUU, MIMI NADHANI WANATAKA KURAHISISHA USAFIRI.

JIBU SAHIHI UNALO ILA UNALETA THE SWAGAZI
 
Ukiwa na gari inamaana una hela wanawake wanataka hela sio gari
Tena madereva wanawalamba sana mana unakuta wengine wameajiriwa na magari siyo yako.Na wengi walivyo na akili fupi wanajua kila anayeendesha gari ni lake.Wameliwa wengi xana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…