ANGALIA KICHWA CHA HABARI LABDA UNGESEMA HIVI ;Wadada wengi huwashobokea kina kaka au wababa wenye magari.Ni kwanini?
Kwanini wanawake huvutiwa na wanaume wenye magari?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ANGALIA KICHWA CHA HABARI LABDA UNGESEMA HIVI ;Wadada wengi huwashobokea kina kaka au wababa wenye magari.Ni kwanini?
....Mkuu inamaanisha humu JF kuna watoto wengi nowadays.hivi hadi hili swali mtu na akili zake anauliza??
Really???[emoji5]Lol, i was abt to say the same thing.
Really, lolReally???[emoji5]
Basi sisi tuko makini saaana[emoji7] [emoji7]Really, lol
Tena madereva wanawalamba sana mana unakuta wengine wameajiriwa na magari siyo yako.Na wengi walivyo na akili fupi wanajua kila anayeendesha gari ni lake.Wameliwa wengi xanaUkiwa na gari inamaana una hela wanawake wanataka hela sio gari