Kwanini wanawake huwa mnasinzia haraka sana baada ya gegedo?

yuzazifu

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2018
Posts
5,108
Reaction score
9,469
Natumai hamjambo wanajamvi.

Baada ya mpambano mkali wa burudani ya gegedo kwa bed wanawake hupitiwa na usingizi wa haraka sana, mnaweza kua mnapga stori mbili tatu baada ya game unashtukia mwenzako kashasinzia unaongea mwenyewe tu.

Sasa nachojiuliza hali hiyo hutokana na nini maana kama ni uchovu mwanaume ndo anapaswa kusinzia mapema coz ndo anachakarika zaidi gemuni.

Wadada mtufahamishe usingizi ule wa ghafla hutokana na nini?
 
inatokana na falcidity of cebral ambapo kwa kiasi kikubwa akili inakuwa na suboptimal spinal lymph kwa kuwa cerebrum inakuwa katika excited state.

Kwa kifupi, bora bia kuliko bulibuli [emoji3]
dada ahsante kwa maelezo haya.
 
inatokana na falcidity of cebral ambapo kwa kiasi kikubwa akili inakuwa na suboptimal spinal lymph kwa kuwa cerebrum inakuwa katika excited state.

Kwa kifupi, bora bia kuliko bulibuli [emoji3]
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ