Kwanini wanawake huwa mnasinzia haraka sana baada ya gegedo?

Kwanini wanawake huwa mnasinzia haraka sana baada ya gegedo?

Kinyume chake ni kuwa...asilimia kubwa ya wanaume husinzia baada ya tendo na si wanawake kama ulivyosema.
Wewe utakuwa umebahatika kukutana na wanawake wa hivyo
ukiona ke hajalala mapema baada ya game ujue umempapasa tu, hujamkuna ipasavyo.
 
Back
Top Bottom