jjs2017
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 2,025
- 4,276
Heri ya sikukuu ya christmass na poleni kwa majukumu
Naanza kwa kusema hivi ni kwanini mwanamke akiona ela na akiwa anaiangalia macho yake huwa yana ng'aa sana na yana simama kwa sekunde kadhaa kuelekea upande ela ilipo bila kupepesa pepesa macho.....? Wataalamu wa mambo ya kijinsia naombeni majibu tafadhali