jjs2017
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 2,025
- 4,276
Sina hata haja ya kusalimia,
Kama kichwa cha habari kinavyo sema, naombeni mueleze wazi kabisa kwanini nyie wanawake mkisha olewa mnajisahau na badala yake mnakua rafu sana? Kila saa makanga kila mahali mara sijui malapa hata uletewe vitu vya kujipendezesha na nguo za ujanani mnabaki kusema tu Asante na kuzitunza kabatini. Kwani kabati ndio inavaa?
Yaani ukisikia twende huku wewe unaona makanga tuu, asubuhi, mchana na jioni makanga tuu. Kwa kweli mnakera sana badilikeni wanawake wote mlioolewa yale mavazi na urembo mliokua mnayavaa ujanani na huku ndani tunataka tu yaone.