Kwakweli kwa huyu sijui ni laana , nguo za kisasa na mnunulia za kutosha tena naenda nae achague mwenyewe kabisa asije sema hajazipenda , Cha kushangaza anazipanga tuu kabatini kwa kweli, nywele kila muda na mpa Ela za kusuka Ila kusuka hasuki ni yeye na mabutu tuu , pafyum anazo za kutosha , mafuta ya kila Aina na viatu vya kila Aina , isitoshe kila kitu na mpatia bt ndio hivyo jamani.. mm nimeongeanae awe Kama ni navyo taka but anaitika na kuomba MSAMAHA Kama ananikosea kua rafu na kuahidi atabadilika Ila mpaka Sasa hakuna mabadiliko yeyote, naombeni ushauri wa kina jamani ,