π€Wanakuwa na uhakika kuwa hauwezi kumuacha kwa hiyo anajiachia tu , wakati mwinhine wanaume ndio tunasababisha hatutoi hela ya matunzo huko kupemdeza anakutoa wapi
Unazungumzia mama zetu au hawa wanawake tunaokutana nao sisi!!Mwanamke anapoolewa majukumu yanakuwa mengi zaidi, atunze mazingira, nyumba, watoto, mume na ndugu wa mume.
Aangalie mifugo mpaka anakosa muda wa kujiangalia mwenyewe.
Wakati huo huo kuna muda wanaume hawatoi hela ya matunzo kwa wake zao.
Pia ni suala la kuridhika na kujiachia
Kwakweli kwa huyu sijui ni laana , nguo za kisasa na mnunulia za kutosha tena naenda nae achague mwenyewe kabisa asije sema hajazipenda , Cha kushangaza anazipanga tuu kabatini kwa kweli, nywele kila muda na mpa Ela za kusuka Ila kusuka hasuki ni yeye na mabutu tuu , pafyum anazo za kutosha , mafuta ya kila Aina na viatu vya kila Aina, isitoshe kila kitu na mpatia bt ndio hivyo jamani.. mm nimeongeanae awe Kama ni navyo taka but anaitika na kuomba MSAMAHA Kama ananikosea kua rafu na kuahidi atabadilika Ila mpaka Sasa hakuna mabadiliko yeyote, naombeni ushauri wa kina jamani ,Ongea na mkeo mwelekeze namna unavyopenda awe smart, msafi, na aende na wakati
Sio wanawake wote wanaokua rafu, mnunulie mkeo mapigo yatakayomfanya aonekane wa kisasa, kama vile nguo za kisasa, perfumea nzuri, mpeleke saluni atengenezwe nywele zake vizuri bila kusahau uhakikishe anapata mahitaji yake ya msingi, mpende na umfanye afurahie maisha ili asizeeke mapema
Nakuhakikishia hutajuta tena utakua unatamani kwenda nae kila mahali ili watu waone ulivyo na mke kifaa
ππππKuna wengine hata kwa bibi hawanyoi, yaani mpaka upekenyue
Wakati hauja-muoa, alikuwa anatokea kwao anakuja kukutana na wewe.
Kwahiyo kama kwao alikuwa anashindia kanga, na hizo vingine umesema, lakini akipata safari ya kuja kuonana na wewe ni lazima aoge ajiweke safi ili aje akutane na wewe. (Hii ni kawaida, ukitaka kuamini mwambie leo tunaenda mahali uone atakavyovaa).
Vile anakuja amependeza haimaanishi na nyumbani anakuwa hivyo hivo. Ni vile umezoea kumwona akiwa kwenye nguo za kutokea (wakati anakujakuonana na wewe). Lakini sasa yupo nyumbani unamuona 24/7. Anahitaji nguo zinazomfanya awe huru ili kazi za nyumbani ziende.
Ushauri.
Mtafutie msaidizi wa kazi za nyumbani, umwambie ukiamka wewe oga, vaa pendeza kama ulivyokuwa unapendeza.
Penye miti hapana wajenziKwakweli kwa huyu sijui ni laana , nguo za kisasa na mnunulia za kutosha tena naenda nae achague mwenyewe kabisa asije sema hajazipenda , Cha kushangaza anazipanga tuu kabatini kwa kweli, nywele kila muda na mpa Ela za kusuka Ila kusuka hasuki ni yeye na mabutu tuu , pafyum anazo za kutosha , mafuta ya kila Aina na viatu vya kila Aina , isitoshe kila kitu na mpatia bt ndio hivyo jamani.. mm nimeongeanae awe Kama ni navyo taka but anaitika na kuomba MSAMAHA Kama ananikosea kua rafu na kuahidi atabadilika Ila mpaka Sasa hakuna mabadiliko yeyote, naombeni ushauri wa kina jamani ,
Pole sana, jaribu kumtoa out, mpeleke viwanja vyenye watoto wakali, wamepiga pigo za maana, fanya hivyo mara kwa mara labda akiona wanawake wenzie walivyovaa na wanavyovutia atabadilika maana atajiona kapitwa na wakatiKwakweli kwa huyu sijui ni laana , nguo za kisasa na mnunulia za kutosha tena naenda nae achague mwenyewe kabisa asije sema hajazipenda , Cha kushangaza anazipanga tuu kabatini kwa kweli, nywele kila muda na mpa Ela za kusuka Ila kusuka hasuki ni yeye na mabutu tuu , pafyum anazo za kutosha , mafuta ya kila Aina na viatu vya kila Aina , isitoshe kila kitu na mpatia bt ndio hivyo jamani.. mm nimeongeanae awe Kama ni navyo taka but anaitika na kuomba MSAMAHA Kama ananikosea kua rafu na kuahidi atabadilika Ila mpaka Sasa hakuna mabadiliko yeyote, naombeni ushauri wa kina jamani ,