Kwanini wanawake mkishaolewa mnakua rafu sana?

Hapo nimekubali wakati unamuoa anakuwa msafi akishazoea hata kupiga deki kwa mwezi maramoja wanawake mhmm hatari
 
Umemtoa wapi?.
 
Hapo nimekubali wakati unamuoa anakuwa msafi akishazoea hata kupiga deki kwa mwezi maramoja wanawake mhmm hatari
Kupiga deki mahali mnapoishi!! Hilo ni zaidi ya tatizo, huo ni uchafu na kutokujipenda na hii inategemea mtu na mtu lakini zaidi sana inachangiwa na malezi. Kwenye urafiki na uchumba watu huwa wana fake sana reality inakuja pale mnapoanza kuishi pamoja
 
Tunajisahau tukisemee nipendeze hiyo vp wakat nishaolewa nshapendwa tunasahau mwanaume habadilkka mda wowote akina mama wenzangu tusijisahau mda mwngn wenyew twavunja ndoa na mahusiano kwa mikon yetu. HASA TUKISHAZAA NDO BALAA

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…