Kwanini wanawake mkishaolewa ndio mnabadilika tabia, kwanini msibadilike kipindi cha uchumbaa?

yuda75

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2020
Posts
520
Reaction score
1,385
Wazee wenzangu,

Ukiwa na mchumba na umesha mvika pete ongeza umakini zaidi ya awali, wengi wanakuwa wapole sanaa balaaa ukisha muoa yani inakuwa ni kama vita ya jihad.

sijui kwanini inakuwa hivyo.

Ila kwa wale mnaoitana wachumba na hata pete mjavikwa nasema mnafanya umalaya acheni mara mojaaaa
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Tukiwa wawazi enzi za uchumba lazima uje huku uombe ushauri na ushauri utakaa upate huku ni wa kutupiga chini sasa itakuwaje bila kupritendi jamani😅😅

Na nyie wanaume mnapenda muingie kwenye mahusiano na malaika wa mbinguni. Sasa wewe ulisikia wapi kuna binadamu malaika. Ehee ulisikia wapi??

Cha kmsingi ni kupendana, kuchukuliana na kumsoma mwenza wako ni mtu wa namna gani. Fulustopu
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] na ulaniweeeee
Hahaaa siwezi laaniwa Mimi huwa si fake from beggining shida ni watu ku fake na kutaka watu wema hayo ndio matokeo, wanaume wengi wapole kabla hajakuoa ngoja uingie sasa ndoani na uzae ndio anaanza kuonyesha tabia chafu zote.
 
Tukiwa wawazi enzi za uchumba lazima uje huku uombe ushauri na ushauri utakaa upate huku ni wa kutupiga chini sasa itakuwaje bila kupritendi jamani[emoji28][emoji28]

Na nyie wanaume mnapenda mzee kwenye mahusiano na malaika wa mbinguni.sasa wewe kuisikia wapi kuna binadamu malaika..Ehee ulisikia wapi??

Cha kmsingi ni kupendana,kuchukuliana na kumsoma mwenza wako ni mtu wa namna gani.fulustopu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe akili yako chakorii unaijua mwenyewe
 
Unafikiri mkuu...huo ndo ukweli haki tena.

Wanaume wanapenda pia kudanganywa..
Na ndo mana saa ingine wanaingia kingi..anaenda kuoa mdada mjinga,mpole..anaejitahidi kuishi kama malaika wa zamu mbinguni kumbeee ni bomu zaidi ya lile la Islamic State.matokeo yake kivumbi na jasho utaenda kukiona ndani.

Hivi unafikiri utaachana na wanaume au wanawake wangapi katika hii dunia??wote wanamatatizo hakuna mkamilifu.

Cha msingi ni kujuana na kuambiana Dos na Donts kiupole kabisa bila kutumia nguvu nyingi mbona sisi ni waelewa kabisa..

Wewe jaribu kufuatilia nyuzi za humu ndani kama hujakutana na baadhi ya wanaume wanalalamika wanawake zao wamebadilika baada ya kufunga ndoa..

Ukweli ni kwamba sio wamebadilika.....hapana isipokuwa hukutaka kumjua rangi yake halisi kabla hamjaoana..hiyo ndo shida.na anashindwa kuishi maisha yake akihofia kupigwa chini akaikosa ndoa.
😅😅😅

Nimeshindwa kupritendigi aiseh..naona maisha yanakuwa magumu kabisa.nitaishi maisha ya wazi ikikupendeza ukataka tufanye maisha niambie kiupole kabisa “babe,hiki na hiki hakiufurahishi moyo wangu”mbona simpo kabisa naelewa na 💯nitabadilika na nitakupenda zaidi

Sasa kama wewe husemi mi nitajuaje😁😁Ehee nitajuaje??😅😅
 
Utajua hujui nikikubandika kibendi cha akudo impact 😂😂😂
 
Wanawake wasanii sana mzee baba, na namna ya kuwanasa we mfungie ndani tu mkae hata miezi 6 tu lazma kuna vitabia utavigundua tu. Usimwambie dhahiri kama unataka kumuoa. Imagine mtoto Cariha au Credit analyst ukae nae ndani miezi miwili tu. Lazma udate!

Sasa we unaita demu weekend tu kisha week nzima anatanga na dunia mnaongea katika simu tu😂😂😂
 
Hizo za kuitana weekend ndo huwa mbaya zaidi, ataficha maovu yote Ila ukikaanae kwa muda flani kama ni zombi itajionesha tu.
 
Back
Top Bottom