Kwanini wanawake mkishaolewa ndio mnabadilika tabia, kwanini msibadilike kipindi cha uchumbaa?

Kwanini wanawake mkishaolewa ndio mnabadilika tabia, kwanini msibadilike kipindi cha uchumbaa?

wazee wenzangu
ukiwa na mchumba na umesha mvika petee ongeza umakini zaidi ya awali
wengi wanakuwa wapole sanaa balaaa ukisha muowa yani inakuwa ni kama vita ya jihad
sijui kwanini inakuwa ivyoo

ila kwa wale mnao itana wachumba na hata pete mjavikwa nasema mnafanya umalaya acheni mara mojaaaa
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Jipe muda wa kutosha kumjua mchumba kitabia kabla ya kuoa, hiyo ndio solution mbali na hapo utawaona wote pretenders
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila cariha sijui umewaza nini na hilo jibu
Ni vile watu wakiwa wachumba huwa wanajidaganya na ku fake ili wa winiane, sasa wakioana ndani ndio huanza kuonyesha true color, Yani wanakuwa ka wanasiasa kipindi Cha kampeni wakishashinda wanasahau wananchi na kuwatesa juu. Ndio uchumba na ndoa sasa
 
Back
Top Bottom