Kwanini wanawake mkishaolewa ndio mnabadilika tabia, kwanini msibadilike kipindi cha uchumbaa?

Nimekuelewa sana mkuu, sasa na wewe basi uanze kupritendi hili tusipoteze mda kabisa jamaa akatangaze ndoa fasta [emoji1787][emoji1787][emoji1787] au unasemaje au ndo umesema maisha ya kupritendi huyawezi sasa itakuwaje aisee usije kuwa unapoteza nafasi au tayali ushaingia kwenye chama any way tuachane na ayo hiki kitabia Cha kujifanga malaika kabla ya ndoa sio kizuri kabisa maana unashindwa kutambua tabia halisi ya mwenza wako na mara nyingi hizi tabia wanazo hawa digrii na mastazi do.com namaanisha wasomi wetu hawa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] cariha na credit analyst
 
Mkuu hakuna mtu ambae anashindwa kubadilika,na hakuna kitu kizuri kama kukaa chin na kuzungumza na mwenza wako..

Watu wengi tunakosea kuzungumza na wenza wetu kwa sababu siku hiyo hiyo umegombana nae au amekukwaza,na mihasira yako siku hiyo hiyo unambwatukia ili abadilike mwisho wa siku mnatengeneza magomvi na chuki zisizona maana.

Mmepishana kauli,zungumza na mwenzi wako mkiwa nyote katika hali ya furaha tena na outing mtoane huko..unafikiri hatutoealewa?tutaelewa sana tu.

Hakuna mwanadamu mkamilifu na hawezu kutokea..
Ukiwa na mtu na ukaona anamazuri mengi kuliko mabaya..kaeni chini mfanye maisha.
Kama mabaya ni mengi kuliko mazuri na unaona hutokuwa na amani,mpige chini mhusika.hata kama ni mimi nipIge chini tu.furaha ya mtu ndo kitu cha kwanza.

Mwisho wa siku yote kwa yote tumshirikishe Mungu kwa kila kitu sauti ya Mungu husema nasi kila siku lakini hatuisikilizi.
 
Huyo unaemfungia ndani hana kwao ? Hana familia?
 
Kama hujui kuandika talaka lazima wabadilike tabia.....Alafu kama unayaogopa yale maneno ya kwenye shida na raha mpaka kifo kitutenganishe pia watabadilika tabia...
 
Hakuna nafasi ninayopoteza mkuu...
Ninachomaanisha ni kwamba sio ninamambo ya ajabu ya kumstua mwanaume a asitake kutangaza ndoa...hapana.

Ninachomaanisha ni hivi siwezi kufake kuwa malaika,kama yeye si malaika Kwanini mimi niwe malaika...nitakuwa mimi na sio malaika.

Cha msingi ni kukaa na mwenzi wako mkayazungumzia mapungunfu yenu mkabadilika..hakuna kitu kizuri kama mazungumzo nakwambia tena.

Na ndo mana siku hizi watu wanalalamikia sana mahusiano kwa kuwa watu hukurupuka..kumuacha mpenzi wako wa zamani unaemjua na kwenda kuoa mwanamke mpya ambae wala humjui hilo ndo tatizo.
Zungumzeni na wapenzi wenu mkishindwana si basi mnaachana kwa amani..

Ni bora shetani unaemjua kuliko malaika usiyemjua huu msemo sijui huwa unamaanisha nini.

Mapenzi hayana formula,kama unampenda mtu mwambie,kuleni maisha πŸ§šβ€β™€οΈπŸ§šβ€β™€οΈ πŸ₯‚
 
Nimekuelewa sana mkuu nafikiri mawazo yako ni mazuri natumaini wadada wenzako watayatumia na kuyafanyia kazi mana mahusiano yamekuwa ni shida kwa sasa nyuzi nyingi watu wanalalamika juu ya wapenzi wao.
 
[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…